Mh Zitto (MB),
Mimi kama mwananchi wa njii hii nakuomba sana kwenye hao wachache mnaofahamu ICT,,, nawaombeni muunde chama au mujiite kundi (pia tumieni mbinu mbali mbali kuwafanya wengine waamuke) mfano kwenye majibu yako wakati wa kutoa hoja unaweka reference url mbalimbali... watasumbuka tu watajua kidogo, muwe na mpango wa kueneza umuhimu wa ICT kwa nchi
(Mfano... kwenye website ya CCN...
www.cnn/politcs/mtakuja/tanzania_iko_nyuma_ki-ICT) wanasema dada.... Wabunge wenzangu kwa ripoti kamili naomba mufungue hiyo website...)
Wataamka tu!!! Pia mwambie Spika aweke siku/tarehe maalum ambapo shughuli za Bunge kama Ratiba hazitatolewa karatasi,,, mnatumia hela zetu ovyo kwa kuwa na matumizi makubwa ya stationary....
Nchi haiwezi kwenda popote bila hili nakuhakishia kabisa!!! wengine tuko tayari kuwapiga shule,,, hata kwa mshiko wa elfu 5 kwa siku... au bure bora malazi ya hotel ya chini kabisa pale Dodoma... kwangu mimi bila hii inchi imekwisha...
Hivi ni percent gani ya wabunge vijana wanajua ICT? kwa kuwa kwa Mzindakaya and Team,,, wao tunawashukuru hatuna haja ya Kusumbuka nao!!! Hili Mh. Linaniuma sana!!!
Mwisho unadhani ni Wabunge na Mawaziri wangapi (estimate) wanafuatilia hapa!!! maana kama hakuna... natamani ningezaliwa nchi nyingine...
Hakuna kitu rahisi ku-adopt kama ICT... Issue ya ICT inabidi ku-deal nayo kwa hali kama hali ya Janga la Kitaifa!!!