Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
K-T
Nasikia imekuwa vigumu kutangaza rais na bado tume inaangaika.
Kwa kuwa muda wa Kibaki umekwisha kwa nini waandishi wasiombe achaguliwe JaJI Mkuu awe acting Hili watatue matatizo yaliyopo?
Kinachoonekana hapa Kibaki hawezi na hataweza kutawala Kenya tena Moi anamudanganya kabisa.
Muda wa udicteta duniani umeisha kwisha mwambie kama anataka kujua yuko mtupu, ahapishwe aone nguvu ya UMMA(wananchi).
Sorry ninataizama TVT. Ni saa Kumi na nusu jioni
wewe mtu wa TVT acha upambe kwani unatia aibu. Hakuna objective journalism in Tanzania?
Raila Anasema Wako Na Evidensi Kwamba Hizo Mikuta5 Za Eck Leo Zilizidi Kuongezea Kibaki Kura Usiku
Wanatoa Evidensi Hio Sasa!!!!!!!!
Wanatoa Mshuhudia Ambaye Ni Mfanyikazi Wa Tume Hapo Kicc Kama Ushuhuda Ya Wizi Wa Akina Kibaki!!!!!!!!!!
Witness Huyo Anaongea Sasa!!!!!!!!!!
Anatoboa!!!!!!!!!! Sir!!!!!!!!!
Anasema Fomu Zilichukuliwa Na Madokumenti Kuongezwa Kura Ya Kumsaidia Kibaki
Anasema Yeye Amejitolea Maisha Yake Jili Ya Taifa
Kutoboa Vile Eck Makamishena Waliiiba Kura Live Hapo Akiwa Amewekwa Kwenye Oath Au Kiapo Asiseme
Lakini Ameamua Aiokoe Nchi Hata Kama Watamuua
Anaongea