Wakati tunasubiri haya matokeo ya mwisho, nina wazo kuhusu haya yaliyokwisha kuchangiwa kwenye hii thread tangu mwanzo. Uchaguzi utakapoisha, hizi posts za hii thread zifanyiwe compilation kitengenezwe kitabu, ili watu wasokuwa na mtandao nao wajue nini kilitokea. Ikiwezekana admin zifanyie back-up kabisa kuanzia sasa uzitunze pahala ili hata akatokea jasusi akafanya hacking bado data zetu ziwepo. Inafaa ulimwengu uyajue yaliyojiri dakika baada ya dakika kama tulivyoyashuhudia hapa.