Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

Kwa vyovyote ilivyo, uchaguzi huu wa Kenya umekuwa na madudu mengi na ya dhahiri ambayo unaweza kufanya yaliyotokea Tanzania kuwa ni ya shule ya vidudu...
Kweli ni madudu hasa pale ECK walipoamua kutangaza matokeo licha ya baadi ya sehemu kuonyesha kura za Kibaki zimezidi hata idadi ya waliojiandikisha kupiga kura. Inasikitisha sana kwa EC kama hii, licha ya witnesses waliojitolea maisha yao kusema ukweli still wameamua kutangaza matokeo ya jumla na kumwapisha Rais usiku
Baada ya mikoa yote kutangaza matokeo yote, tume inatangaza mshindi.
Mwkjj hapo umemgonga nyoka kichwani. Tukiweza kuchukua hatua kama hiyo nadhani tutapunguza kama sio kuondoa kabisa tatizo la wizi wa kula.Lakini hofu yangu ni kwamba umasikini wetu unaweza kuwa tatizo maana fisadi watagawana 'area of concentration' na kuhakikisha wanavuruga kila sehemu wanayoiona threat! BUT Still naiona ni good option for long run.
================
 
Mweshimiwa Zitto

Tanzania inafurahisha sana wametuma wabunge kwenda kujifunza Rwanda mambo ya ICT.

ICT ya Rwanda imesimamiwa na Kagame mwenyewe wakati huohuo waliokuwa wanamfundisha Kagame ni wataalamu kutoka Tanzania.

Sasa ambacho sikielewi tunashindwaje kuwatumia hao wataalamu wetu sasa wamefundisha/wamesaidia Rwanda halafu tunaenda kujifunza huko?

Sie ni kichwa cha mwendawazimu..Tuna wataalamu katika nyanja mbali mbali lakini hawapewi uhuru wa kutumia utaalamu wao bila kuingiliwa na wanasiasa, hawalipwi vizuri, hawapewi vitendea kazi na mwisho hawaheshimiwi wanapotoa mapendekezo yao. Mpaka hapo hayo yote yatakapowekwa pembeni basi tusitegemee mengi toka kwa wataalamu wetu, wacha wazifaidishe nchi nyingine.
 
A very shameful scene from state house: Swearing in ceremony at night, those in attendance except Kivuitu smiled, Mungatana wearing a white t-shirt, etc. This is not Kenya. A very very sad day for Kenya
 
kwa kifupi inakatisha tamaa, halafu watu wakilikita "ughaibuni" utasikia wanalalamika ati wamekimbia rudini home!!! kufanya nini kama mambo yenyewe ndio haya??aibu gani hii? sisiemu watatumia same playbook come 2010........kaaaazi kweli.

kweli kabisa,

wanafanya makusudi ili walioko nje mchukie na muamue kubaki kule muliko ili wao waendelee kuiba na kunyonya. Unakumbuka uchaguzi wa 2000 wa zanzibar hadi watu wakaenda uhamishoni but ccm ndio kwanza wanafurahi kuwa wakorofi wanakimbia ili nchi itawalike.
 
Hawa wanachofanya ni kukatisha tamaa watu , kuja kuiba hivo mchana kweupe wenda kabisa ameshapiga simu kwa marais wezake wakamuhakikishia wapo nyuma yake kukatisha tamaa watu ili-

1.wewe uliye ugaibuni usithubutu kurudi sijui kutetea haki.
2.kama wewe msomi umo ndani ukate kabisa tamaa na siasa ili wao wazidi kushinda kwa vishindo Na waki Magungo nchi zetu.

Mimi kwa kweli inaniuma sana mpaka nimepatwa na homa sio kwamba Raila ila nahurumia watoto na wajukuu wetu ,maana inaonekana afrika kumbe uhuru bado hatujaupata hivyo kuna kila dalili ktk kila nchi kuzuka vita vya ukombozi haswa kenya ,tz na uganda.

Najaribu kumtathimini kibaki sipati jibu sanasana kila mara jibu linalokuja ni DR WATSON ALIKUWA SAHIHI
 
Fujo hizi zinatoka wapi hasa? ukitazama picha za riot ni vijana kati ya 15yrs na 30yrs tena hainyeshi wanatoka familia bora. hii inaashiria bila kuondoa umasikini africa amani ya kweli haipo, nikweli kuwa ujaluoni wako nyuma kimaendeleo ukilinganisha na maeneo ya wakikuyu. Nimatumaini yangu watu hawa walitegemea "maisha bora kwa kila mjaluo" ambayo hata Raila angetangazwa mshindi wasingeyaona.

Tumesikia balozi wetu Benz nusura limtoe roho, Lack dube Gari lilimponza. Mbunge mwenye kujituma Mutamwega alikosa kura kwa kampeni za vibaba vya chumvi.

Jamani tujiulize asikari hawa walihitaji kutumia mipini ya majembe kupiga watu kweli? nilitegemea wangeazima lile gari la maji ya upupu kutoka kampala au harare kufukuza wahuni wachache. Sasa Raila anawabunge 76 tayari keshashika shuka za ikulu, Kibaki usingizi utanonga?
 
naomba nichukue fursa hii kumpongeza mwai kibaki,
nilijua hili na nasikitika sana nimeshindwa kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwake.
watanzania wengi hawajui madhara ya ODINGA Kuwa rais ila wana usalama wanajua,jiulize kwanini FORD Walimnyima uenyekiti?
kibaki asante kwa kulinda maslahi ya afrika ya mashariki,
achana na hawa wanazi waliotaka kuipeleka eac kuwa kambi ya marekani na uk.
najua demokrasia haikufuatwa ila ni kheri PNU kuliko ole ODM
 
Its all out war, chaos and fires everywhere, gunshots, the lights are even gone. Tuombee
 
KIBAKI NI RAIS TENA KENYA;
NAIROBI.Rais Mwai Kibaki ametangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi mkuu wa Kenya, baada ya kumshinda mpinzani wake Raila Odinga wa Chama cha ODM kwa zaidi ya kura laki mbili.

Lakini wakati tume ikitangaza matokeo hayo mjumbe mmoja katika tume ya uchaguzi nchini humo ametangaza kujitoa katika tume hiyo kwa kile alichodai kukataa kujihusisha na wizi wa kura.

Mjumbe huyo Kipkemoi Arap Kirui katika mkutano na waandishi wa habari muda mfupi uliyopita, amesema kuwa alikataa kutia saini katika fomu za matokeo ambazo ziligushiwa na kwamba imani yake haimtumi kuendelea akubaki ndani ya tume hiyo.

Mapema Mwenyekiti wa tume hiyo Samwel Kivuitu alitangaza matokeo baada ya kupitia upya fomu zilizowasilishwa, ambapo ilionesha kuwa Rais Mwai Kibaki alikuwa mbele kwa kura chache dhidi ya hasimu wa Raila Odinga.Katika matokeo ya awali Raila alikuwa mbele.

Uhesabuji kura ulisitishwa wakati ambapo tume ya uchaguzi nchini humo ikipitia upya baadhi ya matokeo.

Raila alikuwa akiongoza kwa wingi mkubwa wa kura dhidi ya Rais Kibaki. Lakini katika matokeo yaliyotangazwa jana na tume ya uchaguzi, mwanya wa kura hizo ulipungua ambapo Raila alikuwa mbele kwa kura elfu 38 dhidi ya Rais Kibaki.

Kuchelewa kutolewa kwa matokeo hayo kumepelekea ghasia ambapo inaarifiwa ya kwamba watu wanane wameuawa katika ghasia hizo.

Mapema vyama vyote viwili kile cha Rais Kibakai cha PNU na ODM vilidai kupata ushindi katika uchaguzi huo.

Tembelea www.dw-world.de na ingia kwenye Lugha ya kiswahili usikilize matangazo.
 
naomba nichukue fursa hii kumpongeza mwai kibaki,
nilijua hili na nasikitika sana nimeshindwa kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwake.
watanzania wengi hawajui madhara ya ODINGA Kuwa rais ila wana usalama wanajua,jiulize kwanini FORD Walimnyima uenyekiti?
kibaki asante kwa kulinda maslahi ya afrika ya mashariki,
achana na hawa wanazi waliotaka kuipeleka eac kuwa kambi ya marekani na uk.
najua demokrasia haikufuatwa ila ni kheri PNU kuliko ole ODM

inaonekana utapingana na kikwete maana naye anapanga kuweka kambi ya wamarekani tanzania. subiri uone kasheshe ya wananchi maana unadhani kuwa kila kitu kitakuwa the same na mzee wenu huyo wa miaka 76 akiwa ikulu.
 
Its all out war, chaos and fires everywhere, gunshots, the lights are even gone. Tuombee

nawaonea huruma sana wakikuyu maana wamezungukwa na makabila mengine wakiwemo wakalenjin. Soon watu watajutia walichofanya maana hiyo nchi haitatawalika kirahisi hivi.
 
Watampiga risasi Kibaki.

Hiyo hapana, isitokee maana ni mbaya zaidi. Kumbuka huyu pia ana wanaomsapoti, kwa hiyo kutakuwa na kisasi kisichoisha. La maana watumie njia yoyote nyingine kumtoa lakini si mauaji. Wampinge kortini, bungeni, wafanye maandamano na yote, lakini mtu asijaribu mauaji, effect yake ni exponentially hazardous!
 
Hiyo hapana, isitokee maana ni mbaya zaidi. Kumbuka huyu pia ana wanaomsapoti, kwa hiyo kutakuwa na kisasi kisichoisha. La maana watumie njia yoyote nyingine kumtoa lakini si mauaji. Wampinge kortini, bungeni, wafanye maandamano na yote, lakini mtu asijaribu mauaji, effect yake ni exponentially hazardous!

Such a good advice. Inauma kushindwa na hasa pale unapoona umeonewa 'live'. Njia nzuri ni kupitia maandamano (nguvu ya umma), kwenda mahakamani n.k. Kumpiga risasi itakuwa balaa kubwa kwa Afrika Mashariki nasi tusingependa ndugu zetu mfikie huko.

Bado haiingii akilini chama kiwe na ushindi mkubwa wa zaidi ya asilimia 75 kwa ubunge na mgombea wake urais ashindwe 'almanusra'. Inawezekana lakini...~!~
 
Je yawezekana kuwa katika hamasa yetu ya kutaka Raila ashinde tumeshindwa kuwa fair na kutaka aliyeshinda kihalali ashinde whoever that may be? Kuongoza toka mwanzo siyo sababu ya kujitangaza mshindi. Tatizo hilo ndilo lililowakuta CUF kwenye uchaguzi.

Nadhani sheria ya Kenya ni kama ya kwetu ambapo Tume ikishamtangaza Rais hakuna pa kukimbilia ni kusubiri miaka mitano. Je watu wa Raila hawakutumia kila "mbinu" ili mgombea wao ashinde na mbinu hizo zikaitwa "mkakati"?

Kwa vyovyote ilivyo, uchaguzi huu wa Kenya umekuwa na madudu mengi na ya dhahiri ambayo unaweza kufanya yaliyotokea Tanzania kuwa ni ya shule ya vidudu. Tunapoenda mbele jukumu kubwa ni kuona jinsi gani tunaweza kutengeneza mechanism ambayo itahakikisha kuwa uchaguzi unafanyika kwa uhuru.

Binafsi naamini jambo moja ambalo lazima lifanyike mara moja Tanzania na hata baadaye Kenya ni kuwa mtindo wa kusubiri matokeo ya Urais yatangazwe kitaifa unachochea sana wizi na uvunjaji wa taratibu. Binafsi naamini kila mkoa/jimbo utangaze matokeo yake ya mkoa na hayo yanasimama. Tume ya Taifa jukumu lake ni kukusanya matokeo yote na kuyajumuisha. Hii ina maana ya kuwa badala ya vituo kutangaza halafu matokeo yaende tume ya Taifa ni vizuri matokeo yakitangazwa vituoni yanaenda ngazi za mkoa na kila mkoa unatangaza matokeo yake period.

Baada ya mikoa yote kutangaza matokeo yote, tume inatangaza mshindi.

Mwanakijiji,
Suluhisho siyo kutangaza matokeo kwa ngazi mikoa/majimbo hadi Taifa.Mbinu nayoiona inayotumika kuiba kura hapa ni ucheleweshaji wa matokeo kule ambako mgombea uraisi kutoka chama tawala anaonekana kupata ushindi.Kwa sababu matokeo ya mikoa/majimbo mengine yakishatangazwa then yale ya mgombea urais kutoka chama tawala yanakuwa adjusted ili "kucounter" yale ya mikoa mingine yaliyokwisha tangazwa! labda uweke kitu kama timelimit ya kila mkoa kutangaza matokeo which is another issue!

USHAURI WANGU:
Inavyoonekana ni vigumu sana kwa viongozi wa Afrika kukubali kuachia ngazi kwa njia ya kura na trust me hata wale wachache ambao walikubali nadhani hujilaumu kila siku kuwa ni kwanini wamekubali kushindwa.
Nafikiri Afrika tunahitaji ukurasa mpya wa jinsi ya kuomba haki zetu pindi matatizo kama haya yanapotokea nayo ni kufuata njia kama ile ya UKRAINE na ULAYA,it is working!!! na ndiyo maana wanaendelea! sasa kama waKenya wakikubali kuibiwa kura basi hii itahalalisha hata serikali nyingine za kiafrika kufuata mtindo kama huo huo.ILA kama wakenya wakisimama kidete mitaani kwa amani kudai haki zao hii itafungua ukurasa mpya Afrika na itakuwa ni fundisho kwa viongozi wengine madikteta kama akina Omary Bongo,Ngwema,Gadafi, ambao wapo madarakani kwa takribani miaka arobaini!

-Wembe
 
Hey Kenyan, yale matokeo yaliyobashiriwa na mtu wako uliyedai kapata classified information yako page ya ngapi vile?

Au post tena nifanye comparison na haya matokeo halisi.
 
nawaonea huruma sana wakikuyu maana wamezungukwa na makabila mengine wakiwemo wakalenjin. Soon watu watajutia walichofanya maana hiyo nchi haitatawalika kirahisi hivi.

AS I TOLD YOU ALL HELL HAS BROKEN LOSE HERE...IT IS CRIES, TEARS, WAR, FIRE, SMOKE, BULLETS AND PAIN FROM ELDORET RIFT VALLEY TO MOMBASA IN COAST PROVINCE, FROM KAKAMEGA IN WESTERN KENYA TO NAROK IN SOUTHERN KENYA, FROM LODWAR IN NORTH KENYA TO NAIROBI IN CENTRAL KENYA........THIS IS WHAT KIBAKI WANTED.

pic_301207_04.jpg


pic_301207_03.jpg


pic_301207_06.jpg


pic_301207_05.jpg


pic_301207.jpg


image9.jpg



image9.jpg


image5.jpg
 
WENZANGU,

NASHUKURU KWA KUWA PAMOJA NASI KWA KIPINDI HIKI KIGUMU.

NAWAOMBENI RUHSA NIENDE NIKAOMBOLEZE NA NCHI YANGU, TUPANGUZANE MACHOZI KWA KITENDO CHA JINAI KIMECHOFANYIKA IKULU, NAIROBI. SITAKUWA HAPA KWA MUDA LAKINI MUISHI KWA AMANI NCHI YA MAMANGU, TANZANIA.

WAMEFUNGA VITUO VYOTE VYA UTANGAZAJI NA SASA NI KBC TU NDIO INA HATI ZA KUTANGAZA. NGOJENI MUONE DAMU SASA HASA YA WANAUPINZANI NA WALIOMPIGIA RAILA IKIANZA KUMWAGWA NA SERIKALI. KBC ITAWAAMBIA MAMBO SHWARI LAKINI WATAPONDA ANY RESISTANCE NA RISASI. TUMEKWISHA SISI, VIONGOZI WETU ODM WILL BE ARRESTED WITHOUT TRIAL AND THIS IS WHAT IT MEANS TO FIGHT FOR DEMOCRACY AND THE POOR.

WE ARE MEN, WE WILL DIE LIKE MEN.

KWAHERI YA KUONANA. NIKIFA VITANI HUKO KWENYE MAANDAMANO AMBAZO ZIMEANZA TAYARI MUSINISAHAU MOYONI MWENYU. NAWAPENDA NA NINA WAHESHIMU.


AHSANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI
DU!
UNATULIZA JIRANI, SI UAJUA MAANDIKO YANASEMA "MPENDE JIRANI YAKO KAMA NAFSI YAKO"
 
K-Tz,
Pole sana ndugu- tambua kuwa tunakupenda- Ukiona tu vipi hapo wewe njoo nyumbani Tz- tunakuhitaji!
 
image2.jpg


image11.jpg


image6.jpg


image7.jpg


image0.jpg


pic_301207_03.jpg


_____________________________________________________________

MKIMTAZAMA HUYU JAMAA ALIYEIBA KURA AKIAPISHWA ANA RAHA KWELI?

1_236649_1_5.jpg



______________________________________________________________

RAIS WETU RAILA TUTAKAYEMWAPISHA KESHO UWANJA WA UHURU, NAIROBI


1_236654_1_3.jpg


MACHOZI YAKE HAYA ANAYOLIA KWA KUWA AMEIBIWA NI YETU WOTE.

KESHO TUNAKUTANA NAO KWENYE UHURU PARK. 1000,000 MEN WILL MARCH TO UHURU PARK TO INSTAL OUR PRESIDENT RAILA ODINGA. TUTAKUMBANA NA MAGUMU LAKINI MTUOMBEE.

 
Back
Top Bottom