Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

Verdict itaruka live kupitia The citizen. Wenye king'amuzi cha Star times wataweza kuona live.

Tuna mengi ya kujifunza hapa! Wenzetu wanarusha kesi live kwenye runinga, sisi inaitwa kuingilia uhuru wa mahakama! Na wale wajinga wengine wanataka eti hata bunge lisirushwe live.
 
Hukumu ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa kenya iliyofunguliwa na Raila Odinga inatarajiwa kutolewa uamuzi na Mahakama ya juu nchini KENYA kabla ya saa kumi na moja leo.
 
Hukumu itatolewa saa ngapi jamani?tuna hamu ya kutaka kujua nani bingwa katika kesi hii ya kupinga?
 
Ni kweli lakini sitegemei kama majaji watatengua hayo matokeo pamoja na kasoro zilizojitokeza. Ok ngoja tusubiri kitakachoamuliwa na majaji.
 
Itakuwa ni ujasiri wa kipekee kama watamtangaza Uhuru kama mshindi na kutupilia mbali kasoro zote zilizojitokeza.Sidhani kama hali itakuwa shwari.
Ni kweli lakini sitegemei kama majaji watatengua hayo matokeo pamoja na kasoro zilizojitokeza. Ok ngoja tusubiri kitakachoamuliwa na majaji.
 
Odinga muitisha press conference saa moja baada ya hukumu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Inarushwa live na citizen pia. Ndo tz tujifunze sio kesi ya uchaguzi inasikilizwa mwaka mzima na appeal ya appeal tena another year.
 
Inarushwa live na citizen pia. Ndo tz tujifunze sio kesi ya uchaguzi inasikilizwa mwaka mzima na appeal ya appeal tena another year.
Mjifunze nini ilhali watu walishasema hapa hapa kuwa hakuna cha kujifunza kutokana na uchaguzi wa Kenya?
nigaie 'Easter eggs'
 
Dakika 10 zijazo mbivu na mbichi kujulikana kama Uhuru ataendelea kuwa rais kama alivyotangazwa na tume au uchaguzi utarudiwa! kaa mkao wa kula...........
 
Ni haki yao ya msingi kupata ridhaa ya mahakama ili kuondoa malalamiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…