Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa dar nina startimes naweza pata
hukumu itatolewa saa ngapi jamani?tuna hamu ya kutaka kujua nani bingwa katika kesi hii ya kupinga?
Ni kweli lakini sitegemei kama majaji watatengua hayo matokeo pamoja na kasoro zilizojitokeza. Ok ngoja tusubiri kitakachoamuliwa na majaji.
Mjifunze nini ilhali watu walishasema hapa hapa kuwa hakuna cha kujifunza kutokana na uchaguzi wa Kenya?Inarushwa live na citizen pia. Ndo tz tujifunze sio kesi ya uchaguzi inasikilizwa mwaka mzima na appeal ya appeal tena another year.