Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

Tanzania tunawazidi Kenya soooon

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Six justices of appeal from different school of thoughts, four different issues, over six different experienced counsels' submissions, presence of obvious conflicting evidence, unanimous decision! I have proved its so hard to decide against one in power, whether he is a president or president elect!
 
now oir focus should be the ICC. First hardle, First win. Congs to all the winners and loosers. Peace be with you!
 
Kwa nini unasema hivyo kuhusu Wajaluo?

Kwani ni watu wabaya?
acha tu Nyani Ngabu walichonifanya hawa watu namwachia MUNGU nimekimbia miji yote nikapumulia Voi lakini haikutosha hata Dar nikawakuta sembuse Arusha, kama unaweza kaa nao nyumba moja inabidi uzibe masikio na hata chooni usiende maana wanakagua Du sielezei wakati wao hawana usafi wote
Naomba turudi kwenye sherehe na nairobi sasa itakuwa na amani nakukaribisha turudi
 
Last edited by a moderator:
Hatimaye uhuru Kenyatta amethibitishwa na mahakama ya juu ya kenya kwamba yeye na mwenzie Ruto walichaguliwa kihalali!
 
Reactions: Ctr

Mimi sidhani kama alishindwa 'kihalali'.

Hiyo margin ya Kenyatta ni suspect sana.

But, chaguzi za Afrika ndo zilivyo.

Kujua mshindi halali ni ngumu sana.

Sasa Uhuru atakuwa rais kwa miaka 10 ijayo kwa sababu hata re-election atashinda tu iwe kihalali au kidhulumati kama alivyofanya mjombae Kibaki.

Baada ua Uhuru kumaliza muda wake Ruto naye lazima awe rais, tena kwa miaka 10.

Ruto akimaliza kuna Eugene Wamalwa will be waiting in the wings lol

Kikuyus na Kalenjins watatawala Kenya for at least 30 more years. Mark my words.
 

Uhuru to be sworn in as Kenya's fourth president on April 9 after the Supreme Court struck out Raila's petition challenging his election/file

NAIROBI, Kenya, Mar 30 – Uhuru Kenyatta will now be sworn in as Kenya's fourth president on April 9, after the Supreme Court on Saturday evening struck out Prime Minister Raila Odinga's petition challenging his election.In the landmark decision, the judges agreed that the announcement by the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) declaring Kenyatta as president will stand.

The six-judge bench arrived at the verdict after analysing arguments brought forth by lawyers for the IEBC, Kenyatta, deputy President-elect William Ruto and three voters who wanted a determination on the validity of rejected ballots in the finally tally.

IEBC defended itself saying it conducted a free and fair election and did not programme systems to fail so that it could favour any side of the political divide.
More to follow…

Source Capital FM
 
tomato sosi na chili kwa pamoko
 
Kethi Kilonzo did a wonderful job! Only that she was representing a party destined to lose.
 
wacha kupotosha hukumu haijatolewa,majaji waligundua makosa kwenye hukumu na kuhairisha kwa muda.
 

Yaani unanimous decision ktk mashauri yote hayo ina walakin.

Ni kama wote wana akili za kushikiliwa vile. They can't think on their own? Really?

Yaani hakuna hata mmoja aliyekuwa na dissenting opinion? Hahahahahaaaaaa kaaaaz kweli kweli.

Nilijua Raila alikuwa anapoteza muda wake tu kwenda kwa hao majaji.
 

Ni kweli kabisa Kenya ni kinara wa demokrasia Afrika Mashariki na kwa kweli nafikiri ktk nchi zilizo kusini mwa Jangwa la Sahara.Ndio maana binafsi napenda na kufuatilia sana siasa za Kenya.
 
Tanzania tutegemee wakimbizi majira kidogo ijayo!

Mi naona kama Raila hatakubali!
 
ok, nadhani sasa wakenya wakae chini waunde serikali wafanye kazi kwa maslahi ya Kenya na wakenya wote kwa ujumla.

Ila hakika imekuwa ni changamoto nzuri kwa uhai wa demokrasia kwa nchi zetu, Tanzania tunatakiwa kujifunza kitu hapo.

Wakenya waepuke vurugu za namna yoyote ile, na wanasiasa waepuke kauli za uchochezi kwa ajili ya kuilinda amani ya nchi na pia kuheshimu utawala wa sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…