Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

Raila Odinga amekubaliana na uamuzi wa supreme court na kutakia serikali mpya,,
heri njema.

Kwahovyo ambao wako na tashwishi kuhusu,,,ati unanimous verdict,,,,,,,,,,

'Nyinyi si werevu zaidi,,,,,,,kumliko Raila mwenyewe'

Kwani,,,,maana ya democracy ni nini??????????


Thanks,,,Agwambo (Raila)for this,,,,,,,you make Kenya,,,

Great.

I'm proud to be a Kenyan,,,,,and to the British and
their funny ambassadress to Kenya,,,,,,,
Haibu,,and to curson sijui nini,,,utakula huuu,,,
and to the enemies of Kenya,,,amna bahati,,
and to our friends and those great Africans,,,
nyinyi ni wetu.
 
Raila Odinga amekubari uamuzi wa mahakama ya Kenya kutokana na uamuzi wa mahakama hiyo kumuidhinisha Uhuru Kenyata kuwa rais mteule wa Kenya na amemtakia kheri Kenyata kwenye kazi yake ya urais.

Huu ni uamuzi wa kishujaa alioufanya Raila kutokana na siasa za Kenya zilivyo hivi sasa ,ameepusha mengi,angegomea uamuzi wa mahakama labda zingeweza kutokea ghasia tena.

Kila la kheri Raila.


chanzo Aljazeera tv.
 
Hata asingekubali angefanyaje..apumzike tu ale pensheni
 
The man had finally accepted a defeat

I am very proud of him. True to his word, he did exactly what he said he would do - that is accept the court's decision though that doesn't mean he agrees with it.

But some people here had the nerve of disparaging him and ask why he was going to court. Well, what did y'all want him to do?

To me, this was not about Raila. It was about the ideals of a free and democratic society. Ideals which don't only benefit him.

They benefit everybody.
 
Vipi kama ICC ikiwabana kina UhuRuto?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Raila is now speaking. He is saying the petition was not personal but for the national interests. They did their best to prosecute the case. Although they may not agree with the Supreme Court, they still believe in Constitution. They are therefore respecting the Court's decision and they are not regretting taking their case to Court. He wished the president elect and the team well

Hana jinsi zaidi ya kusema hayo....apumzike aache watu wa mikakati wafanye kazi sasa...aende sasa ccn na bbc kufanya mahojiano....
 
Britain sends congratulatory message, did we need it?
 
Tumejifunza hili mkuu: na ninapendekeza liitwe The Highlander Doctrine:

Siku ya uchaguzi wa Raisi, kila Mwakilishi wa Chama kwenye kila kituo cha Uchaguzi awe na simu yenye kamera. Kila tarakimu inayobandikwa kwenye ubao wa matokeo ya uchaguzi kwenye kituo cha Uchaguzi--hasa kwenye eneo la
Rais na Mbunge, irushwe kwenye server ya Chama pale Kinondoni ambayo itakuwa imeunganishwa na network ambayo SI ya hapa Tanzania wala Kenya.

Network za Simu zina uwezo wa kuunganisha Simu na Internet server mahali fulani. Tusitumie network ya Kitanzania kwa sababu kuna wataalam wa TTCL wanaweza kuingia pale wakakucheza na ile server.

Tuandae computer program leo, ambayo itaweza kutally hizi report za simu instantly na kutupa taarifa ya papo kwa papo kuhusu matokeo kwenye a) Kituo b) Kata c) wilaya d) mkoa e) taifa.

Hizi simu ziwe na uwezo wa kupiga picha pia. Picha ya ubao wa matangazo upigwe Na hawa vijana wetu katika kila kituo wawe Red Brigade walioiva, waaminifu, ambao tutakuwa tumewapa mafunzo mapema. Mafunzo yatolewe sasa hivi. CCM tayari wamefanya hivi. Vijana wao tayari wamepitia mafunzo na hizi simu (aina ya NOKIA) wanazo mikononi. Taarifa ya Tume ya uchaguzi itakuwa nyongeza tu ya kitu tunachokijua tayari. Ujinga udhibitwe kuanzia ngazi ya kituo cha kupigia kura. Tuweke kikosi cha Red Brigade kwenye kila kituo, mita mia tano kutoka kituoni. Na hii inawezekana kabisa kwa sababu vijana tunao! Msimamizi wa uchaguzi kwenye kila kituo akileta za kuleta, Red Brigade Washuke pale. Na Polisi hawawezi kuwepo kila kituo. Hatuwezi kuweka Laptop kama Mheshimiwa Mnyika alivyofanya pale jimbo la Ubungo 2010. Pale kituoni watakuwepo Mgambo na Polisi mmoja tu. Nguvu ya Umma itashamiri. Hakuna uwongo utatokea pale.

Hili ndo tunalojifunza. Naomba kuwasilisha kwako mleta mada. Nitasahihisha makosa ya typing baadae.


Mahakama kuu ya kenya imetupilia mbali madai yote ya Raila Odinga na kuamua sasa Uhuru Kenyata aapishwe.
 
Ni jambo jema kutii maamuzi ya mahakama, ndio utawala wa sheria unavyotaka pia.
 
Vipi kama ICC ikiwabana kina UhuRuto?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

akishaapishwa tu,kenyatta itakua ndo byebye The hague.
Wakimbana sana atatawala hata kwa miaka thelathing bila kuachia.
 
Ndo siasa ilivyo asiyekubal kushindwa c mshindan.coz rais lazima awe mmoja.na hii inaonyesha ukomavu wa siasa ya kenya. Tunamtakia kenyatta mema na kuondoa ukabila nchn umo
 
Tumejifunza kuwa tusiwe walalamishi kama raila bali tuwe na mipango kama uhuru na tuwe wajivuni kama ruto
 
Hongera sana Kenyatta,maana watu wabaya walichonga sana!!
 
Back
Top Bottom