much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Nahisi mwenzetu utakuwa umekaa ofisini hujui nini wenzako tunapitia....Kwa hiyo siku wakenya wanakataa kununua mchele toka Tanzania we utakufa? Usikubali kunyanyaswa kisa soko. Tafuta soko lingine