Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,547
basi atulie tu sio kuleta machafukoRaila yeye anasema atakuwa rais wa watu kama EDO..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi atulie tu sio kuleta machafukoRaila yeye anasema atakuwa rais wa watu kama EDO..
Yaan na mm sijaelewa ktn wako live na ndo wametoa taarfa za kufungwa kwa vituo vngineMbona ktn hawafungiwa??
kama ulivyoona habari mkuu, yani Raila na yeye anajiapisha kuwa raisi wa Kenya, sasa vyombo vya habari vimezuia kurusha live, hivyo basi NTV na Citizen wakajitia kiherehere na hivyo wameshut down hayo matangazo kuwa hayataonyeshwa wala kutangazwa, sasa hapa wajiandae kuchinjana manake hawa wafuasi wa raila lazima wauwasheSijaelewa mkuuu. Embu nifafanulie plz kuna nn ???
Kwani lugha yako hiyo?Kakingereza kadogo kamekutoa jasho hivyo ndugu..[emoji87]
Thubutu yako, umuue Raila kutawaka moto Kenya! Alshababu wataungana na wajaruo ni hatari mno.Kujiapisha huku kuna raisi tayari anayetambulika kisheria ni uhaini, adhabu ya uhaini ni kifo.
Kwanini mzigo waubebe vyombo vya habari?
Kwanini hataki kumshughulikia mhaini?
Machafuko tayari hawa!hawa jamaa wakae wasikilizane, watauana bure kisa madaraka, wanataka kenya tena ianze machafuko, na kwetu wakija tutawafukuza, sasa wataenda wapi
im watching live streaming aisee wewe vipi
hebu sema vizuri sijaelewa naona live
hii ninayoangalia ni kitu ganicitizen tv imepigwa chini/shut down
Acha kiwake tu!Kinawaka huko muda huu
SanaSiasa ya Kenya ngumu
Serikali ya kenya yazima matangazo ya CITIZEN TV NA RADIO, Taarifa zaidi pakua hapa
https://citizentv.co.ke/news/government-switches-off-citizen-tv-and-radio-189548/
je huu ni mwendelezo wa kukandamiza vyombo vya habari?
wana UKAWA, sapota wa serikali ya Kenya kwa hili mnasemaje?