Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
uongocitizen tv imepigwa chini/shut down
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uongocitizen tv imepigwa chini/shut down
achana na ukawa, jikite kwenye hili linalotokea sasa au una visasi na UKAWASerikali ya kenya yazima matangazo ya CITIZEN TV NA RADIO, Taarifa zaidi pakua hapa
https://citizentv.co.ke/news/government-switches-off-citizen-tv-and-radio-189548/
je huu ni mwendelezo wa kukandamiza vyombo vya habari?
wana UKAWA, sapota wa serikali ya Kenya kwa hili mnasemaje?
njoo pm ..Sijaelewa mkuuu. Embu nifafanulie plz kuna nn ???
Hapa Chadema hutawasikia!Marais wawili alafu unasema kukandamiza vyombo vya habari? Ingekuwa mimi Kenyata ningefutilia mbali ivyo vyombo sio kuzima tu
tunazungumzia Uhuru wa vyombo vya habari, kwanini avizuie visifanye kazi zao?achana na ukawa, jikite kwenye hili linalotokea sasa au una visasi na UKAWA
apa now banaa naangalia ipo hewani aloo labda kuna tabu hapo kwako.......... ,naangalia aiseeangalia tena maana mimi nastream hiyohiyo na hamna kitu,kijana
visasi vipi? hapa nchini mlitetea vyombo visipigwe fine kwa kurusha habari za kituo cha sheria na haki za binadamu, iweje Kenya vinafungiwa na kutishiwa kunyang'anywa leseni? kwani kosa lao ni nini? Ndio maana naomba wana UKAWA ambao wanaiunga mkono serikali ya Kenya kuzungumzia huku kuminya uhuru wa habari na uhuru wa vyombo vya habari kufanya kazi zao.achana na ukawa, jikite kwenye hili linalotokea sasa au una visasi na UKAWA
Ataenda ikulu ya nyumbani kwakeKwani RAILA tayari kaapishwa ??? Lini ??? Na ataenda ikulu gani
si kama Kenya watakuwa marais wawilieUchochezi huu sasa, tuwe na IGP wawili[emoji36][emoji36][emoji36]
Wewe ulikua IGP wa former president Uhuru Kenyatta,Mimi ni IGP wa serikali ya sasa ya ndg Odinga.Uchochezi huu sasa, tuwe na IGP wawili[emoji36][emoji36][emoji36]
Kosa ni kosa hata alifanye "Mungu". Kenye wanakwenda nao kubaya waafrika hawaaminikivisasi vipi? hapa nchini mlitetea vyombo visipigwe fine kwa kurusha habari za kituo cha sheria na haki za binadamu, iweje Kenya vinafungiwa na kutishiwa kunyang'anywa leseni? kwani kosa lao ni nini? Ndio maana naomba wana UKAWA ambao wanaiunga mkono serikali ya Kenya kuzungumzia huku kuminya uhuru wa habari na uhuru wa vyombo vya habari kufanya kazi zao.
Acha kulinganisha giza na nuru wewe!!.Kweli Tundu Lisu noma, kila anachogusa kinapata matatizo, hawa si ndo walirusha habari za Tundu Lisu kuitukana nchi yetu? Sasa Payback time!
Halafu tukisema Demokrasia ina mipaka tunachekwa na kukebehiwa, watu wanamuita Raisi wetu ,,Dikteta” haya sasa Mwanademokrasia wenu Namba Moja Afrika, Uhuru Kenya kafungia Vituo vya TV!