KENYA: Government switches off NTV, Citizen TV and Radio!

KENYA: Government switches off NTV, Citizen TV and Radio!

achana na ukawa, jikite kwenye hili linalotokea sasa au una visasi na UKAWA
visasi vipi? hapa nchini mlitetea vyombo visipigwe fine kwa kurusha habari za kituo cha sheria na haki za binadamu, iweje Kenya vinafungiwa na kutishiwa kunyang'anywa leseni? kwani kosa lao ni nini? Ndio maana naomba wana UKAWA ambao wanaiunga mkono serikali ya Kenya kuzungumzia huku kuminya uhuru wa habari na uhuru wa vyombo vya habari kufanya kazi zao.
 
Dooh naona sasa ruto anamshauri vibaya Uhuru kwa sababu ya tamaa ya madaraka,waache umagufuli na ukagame coz haulipi.
 
visasi vipi? hapa nchini mlitetea vyombo visipigwe fine kwa kurusha habari za kituo cha sheria na haki za binadamu, iweje Kenya vinafungiwa na kutishiwa kunyang'anywa leseni? kwani kosa lao ni nini? Ndio maana naomba wana UKAWA ambao wanaiunga mkono serikali ya Kenya kuzungumzia huku kuminya uhuru wa habari na uhuru wa vyombo vya habari kufanya kazi zao.
Kosa ni kosa hata alifanye "Mungu". Kenye wanakwenda nao kubaya waafrika hawaaminiki
 
Kweli Tundu Lisu noma, kila anachogusa kinapata matatizo, hawa si ndo walirusha habari za Tundu Lisu kuitukana nchi yetu? Sasa Payback time!

Halafu tukisema Demokrasia ina mipaka tunachekwa na kukebehiwa, watu wanamuita Raisi wetu ,,Dikteta” haya sasa Mwanademokrasia wenu Namba Moja Afrika, Uhuru Kenya kafungia Vituo vya TV!
Acha kulinganisha giza na nuru wewe!!.
 
Back
Top Bottom