KENYA: Government switches off NTV, Citizen TV and Radio!

Simu za thuraya zinafanyaje kazi. nasikia hizo nchi zetu hawawezi kuyaingilia mawasiliano yake. Nielimishe please. Labda na matangazo ya stream wanafanya hivyo
Ni kwamba Google, yahoo, Facebook, Twitter, whatsap, na networks, ios, na Internet networks nyingine zote kabla hazijaingia kwenye simu yako walienda kwanza TCRA kuomba kibali cha kurusha contents zao Tanzania na serikali ikitaka kuzifunga ina uwezo huo.

Hata ukipiga simu popote duniani kutoka Tanzania serikali inaweza kuzuia simu zisitoke au zisiingie nchini ikitaka sema kutokana na wenzetu wapo mbele technology lakini zile simu ambazo masharika yake yapo Tanzania serikali inaweza kuzidhibiti sababu serikali ina vifaa vinavyokagua masafa yote
 
Kenyatta anacheka sana na Raila amuadabishe tu mchezo uishe
 
Pole mkuu, nilikuwa namjibu minga mmoja, utakuwa umepitiwa na ubanga bahati mbaya.
Ok nilitaka kushangaa nikasema mbona sijaandika baya!
 
Wewe hata akili huna ulijualo kwenda kamenye vitunguu huko
Unatafuta mume hapa nini?? Make umeisha parangana hapa kujifanya electronic engineer sana! Unaboa pakashume weeh.
 
Mkuki kwa nguruwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…