KENYA: Government switches off NTV, Citizen TV and Radio!

Lissu huwaga mnamuota eeeh.
 
Poleni huko

Huku TZ wanalilia uhuru wa habari na hata kama haya hayajawahi kutokea.

Wa huku Chama cha upinzani cha family leo kila kona kimya.. maana eti wao umshabikia Uhuri.. eeeeh sijui watatamka nini juu yake.. eeeeeh mmeona munaemshabikia eti yu bora kuliko wetu?
 
Hivi kweli kushabikia Odinga kujiapisha iko sawa kweli? Ashumu sasa Kenya itakuwa na rais wawili kwa wakati mmoja? Doesn't make sense.
 
Hivi kweli kushabikia Odinga kujiapisha iko sawa kweli? Ashumu sasa Kenya itakuwa na rais wawili kwa wakati mmoja? Doesn't make sense.
it doesint make sense kwanza anaapishwa na nani kumbe mt yeyote anaweza apisha mwingine? aisee huyu odinga wanafaa kumshut down hahahaha anazingua
 
Kinachotutesa sisi Afrika sio katiba (CONSTITUTIONS) bali ni ile dhana ya kuheshimu na kukubali kuishi kwa kufuata matakwa ya kisheria na kikatiba (CONSTITUTIONALISM). Ni kweli ili kitu kiheshimiwe ni lazima kiwepo, lakini kama kipo na hakiheshimiwi hakuna maana ya kuwepo.

Binafsi ninashindwa kuelewa kwanini serikali ya kenya haitaki kufuata njia za kisheria kumzuia Odinga kujiapisha. kwa vigezo vyote Odinga hayuko sawa (kisheria). Tukio la Odinga kujiapisha ilipaswa serikali ifuate sheria kwa kumshtaki odinga na kuomba mahakama kumzuia odinga kujiapisha kwa kuzingatia kuwa tayari mahakama imeshamtambua Kenyata kama rais halali wa Kenya. Kisheria, 'watu' (ikiwemo serikali) wamepewa uhuru wa kuiomba mahakama kuiagiza mahakam za chini au mamlaka, taasisi, mtu au kikundi chochote; aidha kufanya au kuacha kufanya jambo fulani. Hii inaitwa MANDAMUS. Kuendelea kufukuzana na Odinga kwa njia hizi ni kuvunja katiba(kwa kufungia vyombo vya habari), kuharibu uchumi( kwa kuiweka nchi katika taharuki za kisiasa) na kumjenga odinga kisiasa.
 
There's no democracy without respecting the Constitution and the rule of law huyo odinga lazima afuate sheria na media zifuate sheria hapo tutaenda sawa.

Safi sana Uhuru kwa kuenda sambamba na kasi ya JPM
Nation Jr,

You don't know what you are talking about..

President Kenyatta is already a legally, constitutionally elected President.. He has to allow other Kenyan constitutional Institutions to deal with Raila political gimmicks.., and NOT to SHUT down the media ..
In this going on political rivalry, the Kenyan media has not done anything wrong constitutionally..
 
mi namlaumu uhuru kamchekea sana
Mkuu NASA wanajua wanachofanya, nimemsikia msemaji wao akisema wakimwapisha watambadilisha title ili kukwepa kosa la uhaini. Mwingine anahojiwa saa hii anasema wakimwapisha kama rais wa NASA hakuna uhaini ila wakimwapisha kama rais wa jamhuri ya Kenya na Amiri jeshi mkuu hapo ndo kuna uhaini.
 
Mhhh, I cant comprehend
 
Wakuu,
Taarifa mpya niaje?
Raila tayari ameapishwa au bado I hope hapo Kenya sasa ni mchana sana!?
Around 12 to 13 hours!!

Mrejesho wajameni!

Au Kenyatta kesha sema "Raila kitu gani , ni mavi ya kuku"!??
 
mamlaka ya marais wenzetu yanahojiwa, siyokama TZ, huku ni full
Kuna sehemu za kuhoji ila sio kwenye huu upuuuzi. Huu ni uhaini.

Raila atapata tu anachotafuta
 
Hizo media zimefungiwa baada ya kurusha taarifa ya kuapishwa rais mpya wa Kenya raila odinga.rais wa zamani Kenyatta kachukia.
Hahahahahahaaa! Kha! Ina Maana Raisi Wa Sasa Wa Kenya Ni Nani Sasa? Eti " Rais Wa Zamani Kenyatta!" Acheni Uhaini Mtafungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…