Lissu huwaga mnamuota eeeh.Kweli Tundu Lisu noma, kila anachogusa kinapata matatizo, hawa si ndo walirusha habari za Tundu Lisu kuitukana nchi yetu? Sasa Payback time!
Halafu tukisema Demokrasia ina mipaka tunachekwa na kukebehiwa, watu wanamuita Raisi wetu ,,Dikteta” haya sasa Mwanademokrasia wenu Namba Moja Afrika, Uhuru Kenya kafungia Vituo vya TV!