Kenya ‘haiwezi kukabidhi bandari’ kwa China kama njia ya kulipa deni la SGR

Kenya ‘haiwezi kukabidhi bandari’ kwa China kama njia ya kulipa deni la SGR

bbcCopyright: bbc

Waziri wa Afya nchini Kenya Ukur Yatani amekanusha taarifa kuwa nchi hiyo iko katika hatari ya kupoteza bandari yake kubwa kwa China ikiwa itashindwa kulipa deni lake kwa nchi hiyo, ambalo pesa zake zimetumika kwa ujenzi wa reli mpya.

Reli hiyo yenye umbali wa kilomita 472 inagharimu karibu mara tatu zaidi ya viwango vya kimataifa na mara nne ya makadirio halisi.

Magazeti ya eneo yameripoti Jumatatu kuwa China ambayo ndio iliyokopesha deni hilo, inaweza kuchukua udhibiti wa bandari ya Mombasa ikiwa Kenya itashindwa kulipa mkopo wake wa dola bilioni 3.2.

Lakini katika taarifa, waziri wa fedha amesema "Hakuna hatari ya China au nchi nyingine yoyote ile kuchukua bandari".

Alisema deni la ujenzi wa reli haliwezi "kulipwa kwa njia nyingine yoyote ile ya kuleta kipato au kupitia shirika jingine bila idhini ya bunge".

"Serikali ya Kenya haiwezi na haijawahi kuahidi mali ya serikali kama dhamana ya deni kwasababu hatua kama hiyo… inakiuka makubaliano ya sasa ya mkopo yaliyofikiwa," Bwana Yatani amesema.

Mimi haipatani na akili yangu.
Sasa wakenywa watashindwaje maarifa na watu wasiojua kiingereza.
Bado mimi sijaelewa hapo.
CC: MK254 kwa ufafanuzi.
Mkikuyu- Akili timamu nisaidie kushangaa 😳😳😳
 
Wewe dayaspora wa Buza kingereza kilishakushinda, acha kuteseka.

Hivi deni kwa kiingereza linaitwaje??
Mjitahidi kuwaelimisha waChina. Itakuwa mlivyowaambia interest rate ni nine percent, wenyewe wakajua ni nineteen percent.
😛 😛 😛
 
Hivi deni kwa kiingereza linaitwaje??
Mjitahidi kuwaelimisha waChina. Itakuwa mlivyowaambia interest rate ni nine percent, wenyewe wakajua ni nineteen percent.
😛 😛 😛

Hata nikikutajia hautaelewa maana, kingereza kinahitaji akili kubwa sio huo utopolo wa Buza..hehehehe
 
Hata nikikutajia hautaelewa maana, kingereza kinahitaji akili kubwa sio huo utopolo wa Buza..hehehehe

Ahaa haaa, waziri wenu wa afya anakuja kusema leo hii eti reli ilijengwa mara 4 ya gharama inayojulikana duniani kote.
Hapo ndipo utakapo elewa nani ni utopolo kati ya Mandarin speaking people and the so called waingereza wa kibera.

😛 😛 😛

Kuishi utopolo republic ni mzigo kweli.
 
Kingereza kingereza kingereza dayspora wa Buza....hehehe
 
Dawa ya deni ni kulipa, vinginevyo hilo deni litabadirika na kuwa posa. Mjipange. 🤣 🤣 🤣

Poleni kwa msiba, chukua tahadhari hapo Buza tunakuhitaji kwenye makelele yako humu jukwaa la taarifa za Wakenya.
 
poleni mazeee dah...waswahili elim muhimuuu mazeeee dah...mombasani huzuni hukuu tunapga marungii
 
Back
Top Bottom