Kenya: Huduma za Afya kutolewa bure kwa watu wote

ingawaje siipendi hii serikali ya tanzagiza lkn huyo ruto ni muongo na anawadanganya wakenya, hakuna huo uchumi wa kutibia kila mtu bure kenya, kenya ina watu milioni 50 huko huo uchumi wa kulipia health care kwa kila mwananchi masikini atautoa wapi tena na dawa bure juu? huyo anawapiga mafix , man.

lkn bado nawakubali na kuwasifu sana wakenya kwa kupigania maisha bora kwenye nchi yao na Mungu awabariki pia ...
 
asıkjlıze uongo, wewe unajua wanasıasa. pale utakapoenda hospıtalı uambıwe nı bure lkn dawa zımetuıshıa ndıo utajua maharage nı mboga. wangekuja kwa mfumo wa bıma ya afya ambao ungekuwa raısı kıla raıa ndıo ımgework out, sıyo hıyo ya bure bure ya uongo
 
WAnanchi wa Kenya sio ponjoro kama kwenu huko ,endapo watadanganya hilo ruto ajiandae kwenda nyumbani mana jambo liligusa familia Moja Kwa Moja
 
ingawaje siipendi hii serikali ya tanzagiza lkn huyo ruto ni muongo na anawadanganya wakenya, hakuna huo uchumi wa kutibia kila mtu bure kenya, kenya ina watu milioni 50 huko huo uchumi wa kulipia health care kwa kila mwananchi masikini atautoa wapi tena na dawa bure juu? huyo anawapiga mafix , man.

lkn bado nawakubali na kuwasifu sana wakenya kwa kupigania maisha bora kwenye nchi yao na Mungu awabariki pia ...
Zambia wamefanikiwa sana katika hilo Mkuu.

Inawezekana.
 
asıkjlıze uongo, wewe unajua wanasıasa. pale utakapoenda hospıtalı uambıwe nı bure lkn dawa zımetuıshıa ndıo utajua maharage nı mboga. wangekuja kwa mfumo wa bıma ya afya ambao ungekuwa raısı kıla raıa ndıo ımgework out, sıyo hıyo ya bure bure ya uongo
Sawa sawa
 
ingawaje siipendi hii serikali ya tanzagiza lkn huyo ruto ni muongo na anawadanganya wakenya, hakuna huo uchumi wa kutibia kila mtu bure kenya, kenya ina watu milioni 50 huko huo uchumi wa kulipia health care kwa kila mwananchi masikini atautoa wapi tena na dawa bure juu? huyo anawapiga mafix , man.

lkn bado nawakubali na kuwasifu sana wakenya kwa kupigania maisha bora kwenye nchi yao na Mungu awabariki pia ...
Aisee wewe ni binadamu kweli au robot la NAPE?
 
Back
Top Bottom