Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Sijajua kama ni bure. Toka lini? Leta ushahidi.Mbona zanzibar imewezekana?
Sijajua kama ni bure. Toka lini? Leta ushahidi.Mbona zanzibar imewezekana?
Nenda hospital za zanzibar na uwe na kitambulisho cha uzanzibar ukaazi.Sijajua kama ni bure. Toka lini? Leta ushahidi.
Naomba Panadol ya Kenya tafadhali.Tuna dawa nyingi sana tunaingiza Tanzania kutoka Kenya.
Ndio Kwa 700%✓Inawezekana kweli kutoa huduma za outpatient, na vipimo na dawa bure?
Wameajiriwa hata huko bara hasa walimu, manesi, makatibu tawala mikoa, DAS, RC, DC n.kNenda hospital za zanzibar na uwe na kitambulisho cha uzanzibar ukaazi.
Wao ni bure kila kitu.
Elimu bure
Afya bure
Ajira bure
Hadi umeme ukiisha unakopeshwa mara 3.
Inawezekana !Inawezekana kweli kutoa huduma za outpatient, na vipimo na dawa bure?
Kama unaweza kutenga 700 billion kwa uchaguzi usiokua na ushindani hiyo pesa ukiingiza kwenye sekta ya afya unashindwaje kutoa huduma bure? Ukikata bajaeti ya ma V8 ya kila mwaka kwa viongozi hujatoa huduma bure tu za outpatient?Inawezekana kweli kutoa huduma za outpatient, na vipimo na dawa bure?
Ndio maana hii awamu kelele za kuvunja muungano zimepunguaNenda hospital za zanzibar na uwe na kitambulisho cha uzanzibar ukaazi.
Wao ni bure kila kitu.
Elimu bure
Afya bure
Ajira bure
Hadi umeme ukiisha unakopeshwa mara 3.
Bima ya Afya huko Kenya ipo ila inategemea na kipato cha muhusika. Wenye mshahara kikubwa wanalipa bima kubwa zaidi. Ukilazwa hospitalini yakupasa kulipia kwa kutumia hiyo bima. Lakini matibabu ni bure kwa Outpatients.asıkjlıze uongo, wewe unajua wanasıasa. pale utakapoenda hospıtalı uambıwe nı bure lkn dawa zımetuıshıa ndıo utajua maharage nı mboga. wangekuja kwa mfumo wa bıma ya afya ambao ungekuwa raısı kıla raıa ndıo ımgework out, sıyo hıyo ya bure bure ya uongo