The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Mkisha sikia kauli za kujiamini kama hizi kwa hapa bongo?GT
Eti ooh wale wanaharibu nchi yao wanabomoa lami na majengo upuuzi mtu wa maCCM.
Hizi habari zimfikie kizimkazi manara na RC Chalamila
Sisi waona tuliwaambia wale wanajenga nchi yao.
View attachment 3443297
Kenya wanatengeneza pia vifaa tiba na madawa na inawezekana unameza dawa nyingi Toka Kenya kwenye maduka na humjui pole mkuu kwakuwa haujuiInawezekana kweli kutoa huduma za outpatient, na vipimo na dawa bure?
Inawezekana kama una kusanya kodi ipasavyo. Maana pesa zinatoka kwa wananchi hao hao indirectly na zingine kwenye Makaa ya MaweInawezekana kweli kutoa huduma za outpatient, na vipimo na dawa bure?
Tuna dawa nyingi sana tunaingiza Tanzania kutoka Kenya.Kenya wanatengeneza pia vifaa tiba na madawa pole mkuu kwakuwa haujui
Waliosema hivyo ni wale kunguni wa mazaGT
Eti ooh wale wanaharibu nchi yao wanabomoa lami na majengo upuuzi mtu wa maCCM.
Hizi habari zimfikie kizimkazi manara na RC Chalamila
Sisi waona tuliwaambia wale wanajenga nchi yao.
View attachment 3443297
Huku kwetu bima ya afya kwa wote serikali ilisema haiwezekani ni kitu cha kufikirika tu.GT
Eti ooh wale wanaharibu nchi yao wanabomoa lami na majengo upuuzi mtu wa maCCM.
Hizi habari zimfikie kizimkazi manara na RC Chalamila
Sisi waona tuliwaambia wale wanajenga nchi yao.
View attachment 3443297
UnaumwaWakenya akili kubwa
WAnanchi wa Kenya sio ponjoro kama kwenu huko ,endapo watadanganya hilo ruto ajiandae kwenda nyumbani mana jambo liligusa familia Moja Kwa Mojaasıkjlıze uongo, wewe unajua wanasıasa. pale utakapoenda hospıtalı uambıwe nı bure lkn dawa zımetuıshıa ndıo utajua maharage nı mboga. wangekuja kwa mfumo wa bıma ya afya ambao ungekuwa raısı kıla raıa ndıo ımgework out, sıyo hıyo ya bure bure ya uongo
Zambia wamefanikiwa sana katika hilo Mkuu.ingawaje siipendi hii serikali ya tanzagiza lkn huyo ruto ni muongo na anawadanganya wakenya, hakuna huo uchumi wa kutibia kila mtu bure kenya, kenya ina watu milioni 50 huko huo uchumi wa kulipia health care kwa kila mwananchi masikini atautoa wapi tena na dawa bure juu? huyo anawapiga mafix , man.
lkn bado nawakubali na kuwasifu sana wakenya kwa kupigania maisha bora kwenye nchi yao na Mungu awabariki pia ...
Sawa sawaasıkjlıze uongo, wewe unajua wanasıasa. pale utakapoenda hospıtalı uambıwe nı bure lkn dawa zımetuıshıa ndıo utajua maharage nı mboga. wangekuja kwa mfumo wa bıma ya afya ambao ungekuwa raısı kıla raıa ndıo ımgework out, sıyo hıyo ya bure bure ya uongo
Aisee wewe ni binadamu kweli au robot la NAPE?ingawaje siipendi hii serikali ya tanzagiza lkn huyo ruto ni muongo na anawadanganya wakenya, hakuna huo uchumi wa kutibia kila mtu bure kenya, kenya ina watu milioni 50 huko huo uchumi wa kulipia health care kwa kila mwananchi masikini atautoa wapi tena na dawa bure juu? huyo anawapiga mafix , man.
lkn bado nawakubali na kuwasifu sana wakenya kwa kupigania maisha bora kwenye nchi yao na Mungu awabariki pia ...
Wameshauliwa wengi tuGT