hakuna huduma ya bure unaweza kufanya qualıty, wewe ukıenda hospıtalı ukıwa na bıma yako kwa maana kwamba matıbabu unayopata bıma ınalıpa ıtakuwa bora zaıd, hata nchı zılızoendelea hawafanyı hıvyo maana huo mfumo does not work, panakuwa hanma debıt na credıt,WAnanchi wa Kenya sio ponjoro kama kwenu huko ,endapo watadanganya hilo ruto ajiandae kwenda nyumbani mana jambo liligusa familia Moja Kwa Moja
Sasa umeandika nini, bora ungekaa kimya.GT
Eti ooh wale wanaharibu nchi yao wanabomoa lami na majengo upuuzi mtu wa maCCM.
Hizi habari zimfikie kizimkazi manara na RC Chalamila
Sisi waona tuliwaambia wale wanajenga nchi yao.
View attachment 3443297
Nchi yako unaita tanzagiza? We ni mtanzania kwl? Bwanamdogo tukana viongozi ila siyo nchi yako, uwe mzalendo huna nchi nyingine hp duniani.ingawaje siipendi hii serikali ya tanzagiza lkn huyo ruto ni muongo na anawadanganya wakenya, hakuna huo uchumi wa kutibia kila mtu bure kenya, kenya ina watu milioni 50 huko huo uchumi wa kulipia health care kwa kila mwananchi masikini atautoa wapi tena na dawa bure juu? huyo anawapiga mafix , man.
lkn bado nawakubali na kuwasifu sana wakenya kwa kupigania maisha bora kwenye nchi yao na Mungu awabariki pia ...
Tukianza na kufyeka ile bajeti ya vitafunwa kwa watumishi wa umma tunaweza brother.ingawaje siipendi hii serikali ya tanzagiza lkn huyo ruto ni muongo na anawadanganya wakenya, hakuna huo uchumi wa kutibia kila mtu bure kenya, kenya ina watu milioni 50 huko huo uchumi wa kulipia health care kwa kila mwananchi masikini atautoa wapi tena na dawa bure juu? huyo anawapiga mafix , man.
lkn bado nawakubali na kuwasifu sana wakenya kwa kupigania maisha bora kwenye nchi yao na Mungu awabariki pia ...
😂 😂 Sisi haya tushajenga. Kutoa huduma kwa Wakenya wote bure ni uongo. Sisi tayari tuleshatoa sheria ya bima ya afya kwa wote. Vituo vya afya vipo kila mahali, shule watoto wanasoma hadi kidato cha sita bure bila hata cent. Chuo kikuu wigo wa mikopo tumeongeza kutoka degree hadi ngazi ya kati. Sasa sijui mnataka tuige nini. Wao ni mabepari, sisi ni wajamaa. Ujamaa tunao tangu enzi. Wao sasa wanaanza kuhama kutoka ubepari waje kwenye ujamaa. Itawachukua miaka mingi watufikie. We are very far aheadGT
Eti ooh wale wanaharibu nchi yao wanabomoa lami na majengo upuuzi mtu wa maCCM.
Hizi habari zimfikie kizimkazi manara na RC Chalamila
Sisi waona tuliwaambia wale wanajenga nchi yao.
View attachment 3443297
Kwenye nchi ambayo chawa wameshika usukani unakosaje kuumwa?Unaumwa
Maji taka haya😂 😂 Sisi haya tushajenga. Kutoa huduma kwa Wakenya wote bure ni uongo. Sisi tayari tuleshatoa sheria ya bima ya afya kwa wote. Vituo vya afya vipo kila mahali, shule watoto wanasoma hadi kidato cha sita bure bila hata cent. Chuo kikuu wigo wa mikopo tumeongeza kutoka degree hadi ngazi ya kati. Sasa sijui mnataka tuige nini. Wao ni mabepari, sisi ni wajamaa. Ujamaa tunao tangu enzi. Wao sasa wanaanza kuhama kutoka ubepari waje kwenye ujamaa. Itawachukua miaka mingi watufikie. We are very far ahead
Mbona na sisi machawa wamepewa bodaboda na baisikeli, hata askofu Masanja mkandamizaji naye amepewa.GT
Eti ooh wale wanaharibu nchi yao wanabomoa lami na majengo upuuzi mtu wa maCCM.
Hizi habari zimfikie kizimkazi manara na RC Chalamila
Sisi waona tuliwaambia wale wanajenga nchi yao.
View attachment 3443297
Ni kwamba ameweka kodi kwa wenye vipato vikubwa ili pesa zitakazopatikana wasipewe machawa wa mama bali ziende kwenye tiba kwa wananchi.ingawaje siipendi hii serikali ya tanzagiza lkn huyo ruto ni muongo na anawadanganya wakenya, hakuna huo uchumi wa kutibia kila mtu bure kenya, kenya ina watu milioni 50 huko huo uchumi wa kulipia health care kwa kila mwananchi masikini atautoa wapi tena na dawa bure juu? huyo anawapiga mafix , man.
lkn bado nawakubali na kuwasifu sana wakenya kwa kupigania maisha bora kwenye nchi yao na Mungu awabariki pia ...
Huyu ni bingwa wa uongo mzee usimwaminGT
Eti ooh wale wanaharibu nchi yao wanabomoa lami na majengo upuuzi mtu wa maCCM.
Hizi habari zimfikie kizimkazi manara na RC Chalamila
Sisi waona tuliwaambia wale wanajenga nchi yao.
View attachment 3443297
Mbona zanzibar imewezekana?Inawezekana kweli kutoa huduma za outpatient, na vipimo na dawa bure?