Hapana, yeye ni wa information technology katika tume yao, wenzetu wanakwenda ki digital mwaka huu.Hivi huyo mkurugenzi aliyeuwawa ndo kama Jecha wetu huku au?
Killed by people who wants to stay in power by hook or by crook. A young man, living his family because of greedy of so called leaders. It alleged Musando informed the police claiming his life was in danger, but no security was provided. No condemnation from the ruling elite. I will never forget when the VP stated that, ' Mnafikiri munaweza kushinda election hivi hivi tu, " Was he sending message to `Kenyans that you must do something to win election? I can smell a rat.View attachment 554741
View attachment 554739
Chris Musando's Land Rover towed to Kasarani Police Station. PHOTO: SAMUEL RAMTU
IEBC ICT manager Chris Musando found dead
Jul. 31, 2017, 12:00 pm
By STAR REPORTER
Missing IEBC ICT manager Chris Musando has been found dead with one of his arms cut off.
Police said the deputy director's body was found in Kikuyu and taken to City Mortuary in Nairobi on Sunday.
His family members have identified it and are at the facility.
After announcing Musando's disappearance, the commission's chairman Wafula Chebukati he was last seen on Friday night.
"The last communication from him was an SMS sent to one of his colleagues at around 3 am on Saturday morning."
A vehicle belonging to Musando was earlier traced to the TRM parking lot. The Land Rover Discovery was found intact at about 1 am on Monday.
Musando was one of the few people with knowledge on the whereabouts of the servers at IEBC.
The manager had given Central police station officers reports of death threats.
Chebukati's security was beefed up for round-the-clock protection, three days after Musando went missing.
He has been assigned six more police officers and two chase cars.
IEBC ICT manager Chris Musando found dead
=====
Mkurugenzi wa ICT wa IEBC nchini Kenya aliyetoweka Ijumaa, Bw. Chris Musando amepatikana akiwa ameuawa.
Chris Musando ambaye ni Mkurugenzi wa masuala ya teknolojia wa IEBC, alipatikana kwenye chumba kimoja cha kuhifadhia maiti mjini Nairobi.
Mawasiliano ya mwisho kutoka kwa Musando aliyafanya siku ya Jumamosi mwendo wa saa tisa alfajiri kupitia ujumbe wa sms na mmoja wa wafanyakazi wenzake.
Kisa hiki kinatokea ikiwa imesalia juma moja kabla ya kuandaliwa uchaguzi mkuu nchini Kenya ambao utafanyika Agosti 8.
Polisi wanasema kuwa mwili wa Mkurugenzi huyo pamoja na wa mwanamke ambaye hakutambuliwa, ilipatikana eneo la Kikuyu lililo vitongoji vya mji wa Nairobi na kupelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti.
Kuna wapuuzi wanadai na kutuaminisha kuwa kuna mambo ya kujifunza Kenya kuhusiana na namna bora ya kufanya uchaguzi.Tunapaswa kuwaombea ulinzi wa MUNGU kenya ibaki salama.Hawa wakenya ni watu Wa ajabu sana yani. Wanauana kwa mambo ya kipuuz tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huku mbona wenye mawazo tofauti wanapotezwa?! Wewe upo Tz gani hiyo?! Kikwete aliifanyaje tume 2015 au unajisahaulisha?! Africa uongozi ni ufalme siyo kuonyesha njiaNdiyo mnajidai kutulinganisha na Kenya kwenye demokrasia, muyaone hayo mjue Tanzania tuko katika Luigi ya aina yetu ukitulinganisha na majirani zetu hakuna wa kutufikia. Wao wanamuua mtu asiyewakosea lakini huku mijitu inaandaa hadi press conference kwa ajili ya kutukana Serikali, utaachwa?
Watanzania wamejaa unafiki na woga sio kweli kuwa tuna amani!! Ni waoga kusimamia ukweli! Wakenya walishaamka kitambo!!! Zimebakia nchi 2 tu africa ambazo ni mamburula.....Tanzania na Zim......!!! Zingine zimeamka zamani sanaaaKenya hawatakaa wafanye uchaguzi kwa amani
Inawezekana kabisa.wamemkata mikono yote na kuondoka nayo wakajaribu kuhack biometric Loging ya system ya kupigia kura.Mungu utuhurumie!!
"The most poisonous animal bite in the world is a human bite"Waafrika alietulaani sijui yuko wapi huwezi kuamini unamtoa uhai mwanadamu mwenzio ambae ana ndg jamaa...mke na watoto unafikiriaje kwanza?? Wanasema mwanadamu ni mnyama mbaya kuliko hao wanyama wenyewe ni kweli kabisa....hii ni aibu kwa Afrika nzima tuikatae tupinge upuuzi wa aina hii...tusikae kimya hata hapa yatakuja baadhi ya watu wanaumizwa..wanazushiwa wengine wanaumizwa makazini huko kwasababu ya siasa za chuki...Afrika ikatae huu upuuzi wa kuumiza watu kisa madaraka....
Kuamka ni kupigana au???Watanzania wamejaa unafiki na woga sio kweli kuwa tuna amani!! Ni waoga kusimamia ukweli! Wakenya walishaamka kitambo!!! Zimebakia nchi 2 tu africa ambazo ni mamburula.....Tanzania na Zim......!!! Zingine zimeamka zamani sanaaa