Kenya: IEBC ICT Manager, Chris Musando body found at City Mortuary three days after he went missing

Kenya: IEBC ICT Manager, Chris Musando body found at City Mortuary three days after he went missing

sidhan kma uchaguzi wa mwaka huu utapita salama kuna kila dalili ya machafuko Kenya tena inaweza kua zaid ya yale ya 2007
 
I am really touched with this sad story. It doesn't make sense to kill your fellow human being simply because he was an obstacle in your plans to rig the election. May his soul rest in eternal peace. The country of Kenya has lost an humble public servant.
 
View attachment 554741

View attachment 554739
Chris Musando's Land Rover towed to Kasarani Police Station. PHOTO: SAMUEL RAMTU


IEBC ICT manager Chris Musando found dead

Jul. 31, 2017, 12:00 pm
By STAR REPORTER

Missing IEBC ICT manager Chris Musando has been found dead with one of his arms cut off.

Police said the deputy director's body was found in Kikuyu and taken to City Mortuary in Nairobi on Sunday.

His family members have identified it and are at the facility.

After announcing Musando's disappearance, the commission's chairman Wafula Chebukati he was last seen on Friday night.

"The last communication from him was an SMS sent to one of his colleagues at around 3 am on Saturday morning."

A vehicle belonging to Musando was earlier traced to the TRM parking lot. The Land Rover Discovery was found intact at about 1 am on Monday.


Musando was one of the few people with knowledge on the whereabouts of the servers at IEBC.

The manager had given Central police station officers reports of death threats.

Chebukati's security was beefed up for round-the-clock protection, three days after Musando went missing.

He has been assigned six more police officers and two chase cars.

IEBC ICT manager Chris Musando found dead

=====





Killed by people who wants to stay in power by hook or by crook. A young man, living his family because of greedy of so called leaders. It alleged Musando informed the police claiming his life was in danger, but no security was provided. No condemnation from the ruling elite. I will never forget when the VP stated that, ' Mnafikiri munaweza kushinda election hivi hivi tu, " Was he sending message to `Kenyans that you must do something to win election? I can smell a rat.
 
f0360a4edcf2a6697cf333a3c3589b90.jpg

Mkurugenzi wa ICT wa IEBC nchini Kenya aliyetoweka Ijumaa, Bw. Chris Musando amepatikana akiwa ameuawa.

Chris Musando ambaye ni Mkurugenzi wa masuala ya teknolojia wa IEBC, alipatikana kwenye chumba kimoja cha kuhifadhia maiti mjini Nairobi.

Mawasiliano ya mwisho kutoka kwa Musando aliyafanya siku ya Jumamosi mwendo wa saa tisa alfajiri kupitia ujumbe wa sms na mmoja wa wafanyakazi wenzake.

Kisa hiki kinatokea ikiwa imesalia juma moja kabla ya kuandaliwa uchaguzi mkuu nchini Kenya ambao utafanyika Agosti 8.

Polisi wanasema kuwa mwili wa Mkurugenzi huyo pamoja na wa mwanamke ambaye hakutambuliwa, ilipatikana eneo la Kikuyu lililo vitongoji vya mji wa Nairobi na kupelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti.

Inasemekana Aliiarifu polisi ya kuwa maisha yake yako hatarini, lakini polisi hakumpa ulinzi. Inasikitisha, ni kitendo cha kimya a, kuwatisha mausha ya HUYU kijana. kaacha watoto na familia Yake. Waliofanya kitendo hiki MUNGU atawahujumu.
 
Ndiyo mnajidai kutulinganisha na Kenya kwenye demokrasia, muyaone hayo mjue Tanzania tuko katika Luigi ya aina yetu ukitulinganisha na majirani zetu hakuna wa kutufikia. Wao wanamuua mtu asiyewakosea lakini huku mijitu inaandaa hadi press conference kwa ajili ya kutukana Serikali, utaachwa?
Kwani huku mbona wenye mawazo tofauti wanapotezwa?! Wewe upo Tz gani hiyo?! Kikwete aliifanyaje tume 2015 au unajisahaulisha?! Africa uongozi ni ufalme siyo kuonyesha njia

Cairo's
 
DUUU HII NOOMA SANA, HAPA NDO AFRIKA BWANA, UKISIMAMIA UKWELI UNAHATARISHA MAISHA YAKO
 
Hawa wataalam TEHAMA
wanaudhi,
wanakera,
wanadhulum
na wanaharibu matokeo yakweli ya chaguzi kwakupika matokeo.
Hovyo sana hawa watu kuchafua uchaguzi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kauwawa Waziri wa uLinzi
Kufukuzwa mtaalam wa It
Kuvamiwa Nyumba ya Rutto
Uhuru 'mnadhani mwaweza shinda kirahisi'
Kuuwawa na kukatwa kiganja kwa kaimu It wa tume

Binafs Rutto ni mutu mubaya ref;Jacob Juma Saga. 2016
 
Waafrika alietulaani sijui yuko wapi huwezi kuamini unamtoa uhai mwanadamu mwenzio ambae ana ndg jamaa...mke na watoto unafikiriaje kwanza?? Wanasema mwanadamu ni mnyama mbaya kuliko hao wanyama wenyewe ni kweli kabisa....hii ni aibu kwa Afrika nzima tuikatae tupinge upuuzi wa aina hii...tusikae kimya hata hapa yatakuja baadhi ya watu wanaumizwa..wanazushiwa wengine wanaumizwa makazini huko kwasababu ya siasa za chuki...Afrika ikatae huu upuuzi wa kuumiza watu kisa madaraka....
"The most poisonous animal bite in the world is a human bite"
 
Back
Top Bottom