Kenya: IEBC ICT Manager, Chris Musando body found at City Mortuary three days after he went missing

Kuna ile thread ya kupotea kwake nilisema jamaa lazma apatikane amekufa... Kenya is more than you thinking.... Huko kenya ni mafia.. Siyo sehemu salama ya kuishi muda wote
 
Tofauti na Tanzania, Kenya mtu akitoweka atapatikana akiwa amekufa..
Walau ndugu na jamaa wanajua ndugu yao amekufa..

Lakini Tanzania, mtu hatopatikana kabisa mfano Ben Saanane.
Where is Ben Saanane jamani??
....na yeye alikuwa ict !?
 
Jambo ambalo linaniudhi kuhusu nchi yangu hii ya Kenya ni hii ukumbafu ya watu wachache wanao dhani Kenya nzima ni Yao. Sisi kama Wakenya tunataka amani na inajulikana ni nani ako uwezo na nia ya kufanya unyama huu. We know who has the intention and ability of doing this bullshit but everyone is afraid of saying it.
 

Flashback July 3, 2017


EU Observers issue strict guidelines to IEBC over the safety and integrity of the August polls. EU to deploy a large team as observers and stay in Kenya right after election day monitoring the situation
  • Kenyan laws and international law should be respected
  • local and international election observers
  • Kenyan constitution in practice

Source: KTN News Kenya
 
Nchi za Afrika zikianza tu uchaguzi unaanza kusikia mauaji ya viongozi na watu kadhaa yaani hili bara ni jeusi hadi makalio.

Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
 
dogo tulia ungejua mimi ni nani usingebishana na mimi. Kama kufa ningekufa zaman awam ya kwanza pili na ya tatu. Nilikuwa naonja kila chakula kambarage mwinyi na mkapa kabla hawajala.
Kufa kunaingiaje kwenye mada hii!!
 
Maafisa Wavaa KAUNDA SUTI wa kenya washafanya yao. HII NDIO AFRICA! MBAYA SANA.
 
Inauma sana mtu anaposoma kwa shida sana hasa hizi program za sciences kisha anafariki kifo kisichokuwa na Kichwa wala miguu.

Mr. Msando RIP,

Yaani, mauti ya huyu yamenikumbusha kifo cha Dr. Mgaya - senior lecturer in UDSM (2016) kwa ajali ambayo gari lake liliwaka moto akafa.
Jambo, ambalo sijawahi kupata picha halisi kilichotokea hadi kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…