Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,054
- 1,415
Kwa sababu akishindwa atagoma kutoka siyo? Hivyo kuwa chanzocha vurugu.Kiukweli pamoja na yote
Salama ya Tanzania ni Uhuru kushinda tofauti na hiyo twafaaaa
Yes... niliona jama umeandikaKuna ile thread ya kupotea kwake nilisema jamaa lazma apatikane amekufa... Kenya is more than you thinking.... Huko kenya ni mafia.. Siyo sehemu salama ya kuishi muda wote
HAPANA. Aliyepewa ulinzi wa kufa mtu ni mwenyekiti wa tume Bw. Chebukati, baada ya mfanyakazi mwenzake Chris Musando kupotea.Pamoja na escort magari mawili na ulinzi wa polisi sita wabaya wake wamemua. Kenya 2017 election claims its first victim.
Chebukati's security was beefed up for round-the-clock protection, three days after Musando went missing.
He has been assigned six more police officers and two chase cars.
IEBC ICT manager Chris Musando found dead
=====
HAPANA. Aliyepewa ulinzi wa kufa mtu ni mwenyekiti wa tume Bw. Chebukati, baada ya mfanyakazi mwenzake Chris Musando kupotea.
ONLY IN KENYA.... May God Help US!!!View attachment 554741
View attachment 554739
Chris Musando's Land Rover towed to Kasarani Police Station. PHOTO: SAMUEL RAMTU
IEBC ICT manager Chris Musando found dead
Jul. 31, 2017, 12:00 pm
By STAR REPORTER
Missing IEBC ICT manager Chris Musando has been found dead with one of his arms cut off.
Police said the deputy director's body was found in Kikuyu and taken to City Mortuary in Nairobi on Sunday.
His family members have identified it and are at the facility.
After announcing Musando's disappearance, the commission's chairman Wafula Chebukati he was last seen on Friday night.
"The last communication from him was an SMS sent to one of his colleagues at around 3 am on Saturday morning."
A vehicle belonging to Musando was earlier traced to the TRM parking lot. The Land Rover Discovery was found intact at about 1 am on Monday.
Musando was one of the few people with knowledge on the whereabouts of the servers at IEBC.
The manager had given Central police station officers reports of death threats.
Chebukati's security was beefed up for round-the-clock protection, three days after Musando went missing.
He has been assigned six more police officers and two chase cars.
IEBC ICT manager Chris Musando found dead
=====
Yani acha tu inaumiza sana lakini huu unyama hautawaacha salama wanofanya unyama huu ili wasalie madarakani. ..nawahurumia sana Wakenya Namuomba Mwenyenzi Mungu ampokee amja wake na awafariji wafiwa pamoja na kuwasadia Wakenya waepukane na Utawala huu wa KinyamaDah, yote haya ni ili Mtu aitwa Rais?? MUNGU nisaidie Baba.
Kabisa. La Kenya linatuhusu, kwa sababu wakigombana wanakimbilia hukuHuu niwakati wa kuwaombea dua ndugu zetu na si kuwafanyia dhihaka
Jinga lingine hili.Inatisha bora uhuru abaki na aendelee kuwa rais utulivu utekuwepo. Ila wakenya wakifanya kosa kumchagua rafiki ya Sizonje kutakuwa na umwagaji damu wa hatari kwasabab jamaa ni dikteta
.
Iv ben saa 8 yuko wapi? Just a flash back toka kwa muhenga aliyetunga msemo 'nyani haoni kundule' nimekaa nae jiran hapaHawa wakenya ni watu Wa ajabu sana yani. Wanauana kwa mambo ya kipuuz tu
Sent using Jamii Forums mobile app