Hapa ni wiki tu imebakia ..., baada ya wiki sijui itakuwaje! Mungu waongoze ndg zetu wa Kenya!!Pamoja na escort magari mawili na ulinzi wa polisi sita wabaya wake wamemua. Kenya 2017 election claims its first victim.
Kweli kabisa hawa ni ndugu zetu kabisa ni lazima tuwaombee wabaki salama maana yakitokea machafuko huo ni mzigo wetu hakuna namna....Kabisa. La Kenya linatuhusu, kwa sababu wakigombana wanakimbilia huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee...... sasa naweza kuamini kuwa ile ya kuvamiwa kwa Ruttos residense ilikuwa ni movie tuuuHii ndo sababu yakuuliwa View attachment 554838
Sasa DJ Mbowe msaidizi wake anapotea halafu yuko kimya
Kwan Ben amepotea Nchi ikiwa chini ya utawala wa Mbowe na Lowassa.Muulizeni Lowassa na Mbowe, maana mnamuunga mkono mgombea urais aliyeko madarakani na huyo jamaa wa IEBC amepotea chini ya utawala wa rais-mgombea
Pamoja na escort magari mawili na ulinzi wa polisi sita wabaya wake wamemua. Kenya 2017 election claims its first victim.
Akusaidie una shida gani?Dah, yote haya ni ili Mtu aitwa Rais?? MUNGU nisaidie Baba.
Sawa mkuu.Mkuu aliyeongezewa ulinzi ni mwenyekiti wa IEBC na siye aliyeuwawa
East Africa yoote ni mfano mbaya sana ktk democracy duniani, hakuna wa kumnyooshea mwenzie.Si muda mrefu hata mwenyekiti wa tume atakimbia nchi, yaani wale wanaoteliuliwa kukulinda ndio wanaokushughulikia kwanza. Hakuna demokrasia Afrika, si Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi wala Tanzania. Hakieleweki, unafuta tu uchaguzi.
Nahisi itafanya kazi, maana zile si alama zipo kwenye ngozi tu, alafu ma movies kibao huonyesha vile, wanakata kiganja wanaenda log in, kuna zile za macho pia, movie moja niliona walimtoa Jamaa jicho wakaenda kulitumia kulog in. These things can be done with a normal human being wired differently, kuna RAIA zinafurahia kutesa tu, yani ukiwa unascream maumivu hadi unazirai Jamaa ndio anaona raha kinyama.Hivi finger print inaweza fanya kazi hata kama damu imeshaganda na hakuna mzunguko wa damu?
Aliyeongezewa walinzi ni Chair wa IEBC si Bw. Chris Musando (Marehemu). Elewa lugha za watu ndugu acha ku-kremuPamoja na escort magari mawili na ulinzi wa polisi sita wabaya wake wamemua. Kenya 2017 election claims its first victim.
Mkuu sio Wakenya, sema wanasiasa. Kwani hukumbuki matukio ya uchaguzi mdogo wa Igunga? Mfuasi mmoja wa vyama aliuawa na mwingine kumwagiwa tindikali? Wanasiasa wa Afrika si binadamu kamili.Hawa wakenya ni watu Wa ajabu sana yani. Wanauana kwa mambo ya kipuuz tu
Sent using Jamii Forums mobile app