Hakuna busness nzuri kama ambayo unafanya bila mtaji, we angalia feasibility ya biashara kama unahakika itakulipa na unakopesheka kakope then faida ya biashara ndo ulipe mkopo wako. ndivo biashara zoote kubwa zilivo na ndivo matajiri woote wanavofanya kazi.
The same for government also, nilishangaa JPM alivoacha mkopo wa wachina. hizi hela za 300Km tungekuwa tumefungua viwanda vingapa kama nchi? ajira kiasi gani zingezalishwa? na hiyo reli+ndege zake zingekuwa zishapata wasafiri na mizigo ya kusafirisha pia.
Kwa hiyo ulitaka watumie cash wakati wananchi wao wana matatizo ya njaa na ukosefu wa huduma bora, Kenya akili kubwa sio kama sisi tunakimbilia kununua vipangaboi kwa cash wakati wananchi tuna matatizo lukuki
Duh jamaa huna siku utajadili kistaarabu bila kuhusisha wazazi wa watu. Juzi hapa umelishwa ban.Kama una matatizo mwambie baba yako akutatulie, ndio alikuzaa huyo. Lalamika sana ila ndege tunanunua, kelele zako zitaishia humu humu.
Duh jamaa huna siku utajadili kistaarabu bila kuhusisha wazazi wa watu. Juzi hapa umelishwa ban.
Kwa taarifa yako Kenya debt to GDP ratio is above 50%! Na tangu JPM aingie ashalipa deni la zaidi ya Tshs 700 blnMkopo wa Taifa umefikia pabaya sana Ndio maana JPM alisita kuchukua mkopo toka china
Na nyie hiyo pesa mlioikopa mtairudishaje wakati msha-ambiwa reli haiwezi rudisha pesa yote hiyoHakuna busness nzuri kama ambayo unafanya bila mtaji, we angalia feasibility ya biashara kama unahakika itakulipa na unakopesheka kakope then faida ya biashara ndo ulipe mkopo wako. ndivo biashara zoote kubwa zilivo na ndivo matajiri woote wanavofanya kazi.
The same for government also, nilishangaa JPM alivoacha mkopo wa wachina. hizi hela za 300Km tungekuwa tumefungua viwanda vingapa kama nchi? ajira kiasi gani zingezalishwa? na hiyo reli+ndege zake zingekuwa zishapata wasafiri na mizigo ya kusafirisha pia.
Ukiangalia siyo hela nyingi sana, iweje nchi ya Kenya ikashindwa kujenga Reli ya km 400 kwa fedha yake yenyewe badala ya kuchukuwa mkopo wenye masharti ktk kwa Wachina?
Binafsi siamini kama nchi ya Kenya ingeshindwa kupata hiyo fedha ndani ya Kenya kama wangeamua, sasa logic ya wao kukopa foreign country ni ipi?
There are hundreds if not thousands of projects of all sizes in Kenya. From schools, hospitals, roads, dams, energy, water etc. We self-fund the ones we want and borrow for some.
Nimeona hii tabia ya watanzania kujigamba kwamba wanajenga na pesa yao wenyewe. Hii kimaisha ni majigambo ya maskini.
Mkijenga hio reli na pesa yenu, jua kwamba kuna projects zingine zitasimamishwa kwanza.
The same thing with aircraft. You keep bragging that ATCL is buying with their own money while Kenya Airways is leasing.
Little do you know that the whole airline industry is moving away from owning to leasing. 40% of all aircraft in the world is leased. Up from 15% twenty years ago.
Nampatia 5 years muanze kudispose hizo aircraft.
Whether as an individual or as a government, you will never go far without loans or external money.
If you commit a lot of your money on a single project, many other things will come to a stand still.
Na nyie hiyo pesa mlioikopa mtairudishaje wakati msha-ambiwa reli haiwezi rudisha pesa yote hiyo
Kwa hiyo ulitaka watumie cash wakati wananchi wao wana matatizo ya njaa na ukosefu wa huduma bora, Kenya akili kubwa sio kama sisi tunakimbilia kununua vipangaboi kwa cash wakati wananchi tuna matatizo lukuki
Mimi nadhani kukopa ni option nzuri na hasa kama mradi unaweza kulilipa deni na riba yake ndani ya kipindi kifupi .alafu ukaanza kula faida...
ni term ndogo tu ya opportunity cost kwa mfano sisi tutakaojenga kwa pesa yetu yawezekana tukakutwa na tatizo la kutoweza kuendesha shughuli za kila siku yaani za kiserikali na kimaendeleo lakini kwa wakati huo hatutohitajika kulipa riba wala kushurutishwa na masharti kama tungelikopeshwa...
There are hundreds if not thousands of projects of all sizes in Tanzania. From schools, airports, hospitals, roads, energy, water etc.
Aliyetuambia reli haiwezi lipa mkopo ni nani, na pia sio kila mkopo huwa tunategemea kulipa kwa kutumia muundo mbinu wenyewe, maana unafaa uelewe kwamba kuna mafao zaidi ya 1,000 kutoka kwa hii reli ukiondoa nauli na ada ya usafirishaji wa mizigo.
Hivi sasa Wakenya wanajenga majengo na kuanzisha shughuli nyingi sana kwenye miji iliyopo kwenye hii reli na vitongoji vyake.