Ntakupatia mfano mmoja muhimu
Bajeti ya Elimu Tanzania mwaka wa 2017/2018 ni TSH 1.36 Trillion Ambayo ni approx
600 Million USD
Bajeti ya Elimu Kenya mwaka 2017/2018 ni KSH 201 Billion ambayo ni approx
2 Billion USD
Teachers Service Commission Grabs Largest Share of Proposed 2017/2018 Budget
Sh1.36 trillion alone will not fix problems in education
Hio ni tofauti ya $1.4Billion, hio ni elimu pekeyake , tukiachanganya tofauti katika bajeti ya Afya, Ulinzi...nk hio tofauti itakua zaidi ya $4Billion ambayo ingetosha kujenga SGR kutoka mombasa hadi nairobi kwa mpigo mmoja bila kungojea bajeti ya 2018/2019....
Kumbuka Lamu port tunajenga phase one wenyewe kwa $500Million, project sngine za Lapsset kama barabara ya Lamu, Isiolo airport, Manda Airport zote tumefanya na pesa zetu, kwahivyo ukiangalia project za Lapsset pekeyake tayari tumetumia kama $800million...
Tanzania iko na priority zake na pia sisi tuko na zetu...... Si ni juzi tu Tanesco ilikua ikiomba msaada wa loan wa $200Million kutoka Worldbank kwasababu imeshindwa kujimudu? sasa eti mnajenga Reli ya stima na pesa zenu wakati kampuni itakayotoa stima hata haijielewi!!!????