MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Makubaliano ya Mkataba baina ya Nchi ya Kenya na Uchina yakoje kwenye hili swala la Reli? Yaani nchi ya Kenya inatakiwa kumaliza kulipia lini hilo deni, na Wachina wamepata nini kama dhamana (security) ya fedha zao?
Ina maana muda wote huu umekua ukiponda bila kujua hizi taarifa, inadhihirisha huwa unaandika ilmradi tu, automated responses.