Kenya ilikosa 3 Billion USD?

Makubaliano ya Mkataba baina ya Nchi ya Kenya na Uchina yakoje kwenye hili swala la Reli? Yaani nchi ya Kenya inatakiwa kumaliza kulipia lini hilo deni, na Wachina wamepata nini kama dhamana (security) ya fedha zao?

Ina maana muda wote huu umekua ukiponda bila kujua hizi taarifa, inadhihirisha huwa unaandika ilmradi tu, automated responses.
 

GDP doesn't pay debts, your revenues do.
 
Kwa hiyo ulitaka watumie cash wakati wananchi wao wana matatizo ya njaa na ukosefu wa huduma bora, Kenya akili kubwa sio kama sisi tunakimbilia kununua vipangaboi kwa cash wakati wananchi tuna matatizo lukuki
Kama hujui kuwa kwa ulimwengu wa leo nchi yenye vivutio vya utalii kama Tanzania kukosa shirika la ndege linalojisimamia pia ni tatizo, nakihurumia sana mtanzania mwenzangu!

Yaani nakuonea huruma kabisa maana hata hayo matatizo huyajui unaishia kisema tu lukuki!

Shit!
 

Halafu akiona Rwanda wamenunua ndege anaanza kuitukana serikali ya Tanzania.
 
Halafu akiona Rwanda wamenunua ndege anaanza kuitukana serikali ya Tanzania.
Ndo hapo mda mwingine huwa nawashangaa watanzania wenzangu!

Mara mtu kama huyu huyu utamsikia anaosifia Ethiopia, hata hajui kuwa wakati Ethiopia wanaamua kuwekeza kwenye ndege wananchi walikiona cha moto, lakini leo wanasherekea maamuzi yao!
 
Halafu akiona Rwanda wamenunua ndege anaanza kuitukana serikali ya Tanzania.
Na huyu anaishia kusema eti pangaboi utakuta hajui hata ticket ya ndege ikoje[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
GDP doesn't pay debts, your revenues do.
We have not surpassed the threshold in debt level to revenue ratio, we are also within the healthy levels of external debt service to export ratio which is at 14.8% against the threshold of 25%
And for your information economic growth is the key driver of revenues.
 

That's political stuff, but in reality your debt is not healthy. Anyway, same problem in most African countries.

 
That's political stuff, but in reality your debt is not healthy. Anyway, same problem in most African countries.


Kaka am giving you scientific figures used to measure economic development and governance, you're replying back with statements from politicians.... Shows you can't stand an intelligent debate based on empirical observations and facts....am so done with you, kwaheri.
 

That's why your debts are piling up, the so-called scientific figures or western economic development measures do not work in Africa.
 
Ngoja jpm aendelee kutuletea maendeleo wao wakalie kupiga domo
 
jameni debt is inescapable for any development-oriented nation...Kenya is not the first country nor will it be the last that is sustaining massive debt...as long as debt is used to promote economic growth (upgrading infrastructure), it will always bring back positive results as a whole...besides, its not like the debt will not be paid...the railway will last for more than a century...are we too blind to see the benefits of that?
 
Stability ya economy. Thats why our civil servants earn better than yours
 
I was told Tz has so much debt, they can't attract more. And problem is that they are known defaulters though the saving grace is they are getting waivers for being an LDC. Is that true Kilam?
 
I was told Tz has so much debt, they can't attract more. And problem is that they are known defaulters though the saving grace is they are getting waivers for being an LDC. Is that true Kilam?

Debt per GDP ratio: Tanzania 34%, Kenya 54%. Hatuna madeni makubwa kama Kenya, nyie mmezidi hasa tangu Uhuru achukue nchi. Our debt is USD 19.0219 billion while yours is USD 36.4 billion.

Tanzania’s USD 19.0219 billion Government Debt Harmless – Analysts | TZ Business News

Infrastructure pushes Kenya debt to Sh3.76 trillion
 


RVR iliendesha reli tulioridhi kutoka kwa mkoloni bila kuelewa maana yake ma jinsi ya kuiendesha. Beberu aliijenga kwa manufaa yake bila kujali mahitaji ya Waafrika Na ilijengwa ikiliwa maanani kwamba ni mradi wa kufaidi wachache na kunyanyasa wengi ndio maana ulifanya vizuri siku za mkoloni lakini Mwafrika alipochukua usukani na kuheshimu haki za kila Mkenya ulianguka.

Mradi wa SGR umejengwa na mwafrika kufaidi mwafrika hivo chances zake kufeli ziko chini sana.
 

Tatizo ni usimamizi mbovu.
 
Dont be silly, Tanzania is not creditworthy. It was so saddled with debts at one time, to the extent the creditors had to write off sone of its debts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…