Dont be silly, Tanzania is not creditworthy. It was so saddled with debts at one time, to the extent the creditors had to write off sone of its debts.
Dont be silly, Tanzania is not creditworthy. It was so saddled with debts at one time, to the extent the creditors had to write off sone of its debts.
We talk about 2017. Let me post some cool video for you.
Explain this to me, why isnt Tanzania available in all these ratings lists?Kenya is creditworthy as shown below.
Explain this to me, why isnt Tanzania available in all these ratings lists?
Sovereigns Ratings List 2017
Credit ratings: how Fitch, Moody's and S&P rate each country
Credit Rating - Countries - List
Ntakupatia mfano mmoja muhimuUkiangalia siyo hela nyingi sana, iweje nchi ya Kenya ikashindwa kujenga Reli ya km 400 kwa fedha yake yenyewe badala ya kuchukuwa mkopo wenye masharti ktk kwa Wachina?
Binafsi siamini kama nchi ya Kenya ingeshindwa kupata hiyo fedha ndani ya Kenya kama wangeamua, sasa logic ya wao kukopa foreign country ni ipi?
Ntakupatia mfano mmoja muhimu
Bajeti ya Elimu Tanzania mwaka wa 2017/2018 ni TSH 1.36 Trillion Ambayo ni approx 600 Million USD
Bajeti ya Elimu Kenya mwaka 2017/2018 ni KSH 201 Billion ambayo ni approx 2 Billion USD
Teachers Service Commission Grabs Largest Share of Proposed 2017/2018 Budget
Sh1.36 trillion alone will not fix problems in education
Hio ni tofauti ya $1.4Billion, hio ni elimu pekeyake , tukiachanganya tofauti katika bajeti ya Afya, Ulinzi...nk hio tofauti itakua zaidi ya $4Billion ambayo ingetosha kujenga SGR kutoka mombasa hadi nairobi kwa mpigo mmoja bila kungojea bajeti ya 2018/2019....
Kumbuka Lamu port tunajenga phase one wenyewe kwa $500Million, project sngine za Lapsset kama barabara ya Lamu, Isiolo airport, Manda Airport zote tumefanya na pesa zetu, kwahivyo ukiangalia project za Lapsset pekeyake tayari tumetumia kama $800million...
Tanzania iko na priority zake na pia sisi tuko na zetu...... Si ni juzi tu Tanesco ilikua ikiomba msaada wa loan wa $200Million kutoka Worldbank kwasababu imeshindwa kujimudu? sasa eti mnajenga Reli ya stima na pesa zenu wakati kampuni itakayotoa stima hata haijielewi!!!????
Sisi si watoto wadogo.. Hukutaja Tanzania lakini huko nyuma ya akili yako (Subconsciously) Umeuliza hili swali sababu chanzo chake ni Tz na bajeti ndogo kujenga phase 1 SGR yake na pesa zake... Kama ingekua Tz inajenga na mkopo wa Exim bank haungeuliza hili swali. Mbona hauanzishi mada ya kuuliza kwanini TZ haijengi bomba za gesi na pesa zake? au kuchimba migodi na pesa zake, au kwanini Tanesco(ambayo ndo inatarajiwa kutoa umeme wa SGR tz, na pia ndo inatarajiwa kuchangia pakubwa kwa"Tanzania ya viwanda") inaomba $200Million kwa world bank kwasababu imeshindwa kutengeneza faida ya kulipia madeni, alafu SGR Dar-Moro inapewa $1.2B pesa za walipa kodi ambao wengine hata hawana stima majumbani kwasababu Tanesco imeshindwa kujimudu.Sikuuliza swali kwa lengo la TZ vs Kenya, hivyo maelezo yako mengi wala hayakuhitajika, ungeweza tu kuelezea kuhusu hizo projects nyingine ambazo Kenya inajenga kwa hela yake na ambazo ni muhimu klk SGR, kulikuwa hakuna haja ya kuiingiza Tanzania yetu hapa!