Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania. Should this necessarily be "quid pro quo"?

Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania. Should this necessarily be "quid pro quo"?

Kwa sasa nitachangia kidogo kwenye hoja ya Kiswahili na baadae nitachangia kwenye mada kuu ya economic espionage!!
Mkuu, Chige uliahidi kuwa ungechangia kuhusiana na ujasusi wa kiuchumi ila naona kimya. Ila kama umetingwa na majukumu hakuna tatizo, lakini tungependa utie hata neno moja juu ya hilo.
 
Hivi unajua kwa kuna uhusiano mkubwa sana kati ya ujasusi na siasa? Nimeamua kukukumbusha hivyo baada ya kuona umeorodhesha political factors kama moja ya sababu za kufa kwa biashara.
Swali fikirishi je kuna uhusiano kati ya matamko ya majukwaani na ujasusi "unguided policy"(sera za majukwaani na ujasusi) one man band or herding behavior
 
Kwanini nisiwe na maisha magumu?? Kuwa Hussein Melkiory ndiyo kielezo cha maisha mazuri??
Mzee Melkiory Adam Mwakipesile alikuwaga boss zamani TRA. Alifanya kazi na baba yangu mdogo. Kipindi hicho ilikuwa inaitwa Income Tax Department badala ya TRA.
 
Back
Top Bottom