Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #321
Mkuu, Chige uliahidi kuwa ungechangia kuhusiana na ujasusi wa kiuchumi ila naona kimya. Ila kama umetingwa na majukumu hakuna tatizo, lakini tungependa utie hata neno moja juu ya hilo.Kwa sasa nitachangia kidogo kwenye hoja ya Kiswahili na baadae nitachangia kwenye mada kuu ya economic espionage!!