Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania. Should this necessarily be "quid pro quo"?

Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania. Should this necessarily be "quid pro quo"?

Mimi sio mtaalam wa ujasusi brother
Tunafundishwa kwamba asilimia 80% ya mafanikio kwenye biashara yoyote yanategeme jinsi mfanyabiashara anavyo enenda kwenye biashara yake (personal qualities) hii ni pamoja na kukabiriana na yanayomzunguka, lakini kiuhalisia asilima 20% ndiyo ina nguvu zaidi kwa kuua biashara (political,physical and environmental factors) kwenye kitabu changu nimelezea jukumu la Serikali ni pamoja na kushughulikia matatizo ya wafanya biashara ili wafanikiwe, kutunga sera zenye mashiko na zinazo dumu kwa muda mrefu, kuwezesha wafanya biashara kupanga mikakati ya namna ya kukuza biashara zao (guided policies) kutoa mafunzo ya wajasiriamali na kulea wajasiriliamali wadogo (nurturing entrepreneurship). Covid-19 is both a physical and environmental factor (Corana inasababisha watu waishi kwakujihami)
 
Asante sana kwa somo zuri mkuu. Nikipata pesa nitakuungisha kitabu walau kimoja.
 
..nadhani tunakosea sana kuwakweza TISS na kukabidhi maisha yetu mikononi mwao.

..suala la viwanda kufa au kustawi linategemeana na mazingira ya kibiashara yaliyoko Tz.
Kwamba Tanzania hatuna maligafi za viwanda, zipo Kenya? Kwamba hatuna masoko yapo Kenya?

Nchi za ulimwengu wa kwanza huanzisha miradi na kukabidhi watu smart, nje wanaonekana ni wawekezaji lkn kumbe mashushu.

Smartness ni muhimu kwa nchi na tiss ndo tulitarajia idara isheheni watu smart zaidi
 
Asante sana kwa somo zuri mkuu. Nikipata pesa nitakuungisha kitabu walau kimoja.
Karibu sana tumefika hapa siyo kwa Covid-19 tu, ni pamoja na sera za kukurupuka (sera za majukwaani) yaani 'regime uncertainty and herding behavior'(unyumbu)

Herding behavior(unyumbu) :Is an occurrence of thoughtful people suspending their individual reasoning because of fear
 
Cc Malcolm Lumumba njoo brother unisaidie nashutumiwa kuwa nina ID nyingi sana humu jf
 
tumefika hapa siyo kwa Covid-19 tu, ni pamoja na sera za kukurupuka (sera za majukwaani) yaani 'regime uncertainty and herding behavior'(unyumbu)

Herding behavior :Is an occurrence of thoughtful people suspending their individual reasoning because of fear
Hata hivyo inaonekana wewe ni mwanasiasa mzuri sana
 
Wewe dogo ndiyo una ID nyingi sana humu jf tena kwenye huu uzi sasa nashutumiwa mimi kwa ajili yako wewe kuwa makini sana
Mwanaume kumiliki ID zaidi ya moja hilo ni tusi kubwa sana. Tafadhali nitake radhi mkuu.
 
Back
Top Bottom