KazinjaTwo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2021
- 330
- 333
SawaNgoja waje mkuu hao akina melkior
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaNgoja waje mkuu hao akina melkior
Tunafundishwa kwamba asilimia 80% ya mafanikio kwenye biashara yoyote yanategeme jinsi mfanyabiashara anavyo enenda kwenye biashara yake (personal qualities) hii ni pamoja na kukabiriana na yanayomzunguka, lakini kiuhalisia asilima 20% ndiyo ina nguvu zaidi kwa kuua biashara (political,physical and environmental factors) kwenye kitabu changu nimelezea jukumu la Serikali ni pamoja na kushughulikia matatizo ya wafanya biashara ili wafanikiwe, kutunga sera zenye mashiko na zinazo dumu kwa muda mrefu, kuwezesha wafanya biashara kupanga mikakati ya namna ya kukuza biashara zao (guided policies) kutoa mafunzo ya wajasiriamali na kulea wajasiriliamali wadogo (nurturing entrepreneurship). Covid-19 is both a physical and environmental factor (Corana inasababisha watu waishi kwakujihami)Mimi sio mtaalam wa ujasusi brother
Asante sana kwa somo zuri mkuu. Nikipata pesa nitakuungisha kitabu walau kimoja.Tunafundishwa kwamba asilimia 80% ya mafanikio kwenye biashara yoyote yanategeme jinsi mfanyabiashara anavyo enenda kwenye biashara yake (personal qualities) hii ni pamoja na kukabiriana na yanayomzunguka, lakini kiuhalisia asilima 20% ndiyo ina nguvu zaidi kwa kuua biashara (political,physical and environmental factors) kwenye kitabu changu nimelezea jukumu la Serikali ni pamoja na kushughulikia matatizo ya wafanya biashara ili wafanikiwe, kutunga sera zenye mashiko na zinazo dumu kwa muda mrefu, kuwezesha wafanya biashara kupanga mikakati ya namna ya kukuza biashara zao (guided policies) kutoa mafunzo ya wajasiriamali na kulea wajasiriliamali wadogo (nurturing entrepreneurship). Covid-19 is both a physical and environmental factor (Corana inasababisha watu waishi kwakujihami)
Mkuu hivi kwenye uzi huu nina I'd ngapi??Sawa
Sijui ngapi lakini sio vizuri kuwa na IDs nyingi mzee baba. Unawachanganya wale wanaofuatilia comments na mada zako.Mkuu hivi kwenye uzi huu nina I'd ngapi??
Kwanini unahisi kuwa nina I'd nyingi??Sijui ngapi lakini sio vizuri kuwa na IDs nyingi mzee baba. Unawachanganya wale wanaofuatilia comments na mada zako.
Kwamba Tanzania hatuna maligafi za viwanda, zipo Kenya? Kwamba hatuna masoko yapo Kenya?..nadhani tunakosea sana kuwakweza TISS na kukabidhi maisha yetu mikononi mwao.
..suala la viwanda kufa au kustawi linategemeana na mazingira ya kibiashara yaliyoko Tz.
TatuKwanini unahisi kuwa nina I'd nyingi??
Kwanini unahisi hivyo kuwa nina ID tatu??Tatu
Samahani baba yako mdogo alikuwa anaitwa nani?? Jibu PMMzee Melkiory Adam Mwakipesile alikuwaga boss zamani TRA. Alifanya kazi na baba yangu mdogo. Kipindi hicho ilikuwa inaitwa Income Tax Department badala ya TRA.
Karibu sana tumefika hapa siyo kwa Covid-19 tu, ni pamoja na sera za kukurupuka (sera za majukwaani) yaani 'regime uncertainty and herding behavior'(unyumbu)Asante sana kwa somo zuri mkuu. Nikipata pesa nitakuungisha kitabu walau kimoja.
Wewe dogo ndiyo una ID nyingi sana humu jf tena kwenye huu uzi sasa nashutumiwa mimi kwa ajili yako wewe kuwa makini sanaAsante sana kwa somo zuri mkuu. Nikipata pesa nitakuungisha kitabu walau kimoja.
ThanksKaribu sana
Hata hivyo inaonekana wewe ni mwanasiasa mzuri sanatumefika hapa siyo kwa Covid-19 tu, ni pamoja na sera za kukurupuka (sera za majukwaani) yaani 'regime uncertainty and herding behavior'(unyumbu)
Herding behavior :Is an occurrence of thoughtful people suspending their individual reasoning because of fear
Mwanaume kumiliki ID zaidi ya moja hilo ni tusi kubwa sana. Tafadhali nitake radhi mkuu.Wewe dogo ndiyo una ID nyingi sana humu jf tena kwenye huu uzi sasa nashutumiwa mimi kwa ajili yako wewe kuwa makini sana
Baba yangu mdogo alikuwa anaitwa Alex MwakipagalaSamahani baba yako mdogo alikuwa anaitwa nani?? Jibu PM
Hahahahaha eti CC: Malcom Lumumba. Ndio unazidi kuzitaja IDs zakoCc Malcolm Lumumba njoo brother unisaidie nashutumiwa kuwa nina ID nyingi sana humu jf
Kwanini nisihisi hivyo kuwa una ID tatu?Kwanini unahisi hivyo kuwa nina ID tatu??
Napenda watu wajifunze kwa uelewa mzuri nina somo linaloitwa 'An Entrpreneur and His silente society' mfanya biashara anayefanya biashara kwenje jamii yenye ukimya (silent society) hawezi kufanikiwa, nasisi tumeiishiHata hivyo inaonekana wewe ni mwanasiasa mzuri sana