Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania. Should this necessarily be "quid pro quo"?

Nilikukwazaje ??Funguka
Mwaka 2019 wakati ninasema humu JF "NSSF wanipe pesa zangu" ukaniambia siku moja "weka details zako humu nikusaidie. Ukituma PM mimi siji huko kuzisoma" . Yaani mimi nijianike humu mbele za watu baki. Basi tangia siku hiyo nikawa nakuona unajifanya matawi ya juu.
 
Yeah I'm very sorry for that incident nakumbuka ila sikujua kama una maanisha hivyo mimi sio mtu wa hivyo aisee pole sana ndugu yangu nisamehe sana kwa Ubaya ule
 
..mimi ulinikwaza sana ulivyokuwa unatetea " vikosi vya utekaji " ktk mada yako nyingine.
Utekaji kwa maslahi ya taifa (defensive counterintelligence) nitaendelea kuunga mkono kwa 100% mpaka siku natakayokufa.
 
Kwani general tyre ikufa kipindi cha mwendazake...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…