Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Lazima nikunyakueOkay thanks
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima nikunyakueOkay thanks
Kabla ya kuninyakua, lazima leo nikwambie ukweli. Uliwahi kunikwaza saaaaana zamani.Lazima nikunyakue
Nilikukwazaje ??FungukaKabla ya kuninyakua, lazima leo nikwambie ukweli. Uliwahi kunikwaza saaaaana zamani.
Mwaka 2019 wakati ninasema humu JF "NSSF wanipe pesa zangu" ukaniambia siku moja "weka details zako humu nikusaidie. Ukituma PM mimi siji huko kuzisoma" . Yaani mimi nijianike humu mbele za watu baki. Basi tangia siku hiyo nikawa nakuona unajifanya matawi ya juu.Nilikukwazaje ??Funguka
Mimi unaninyakua lini?Lazima nikunyakue
Yeah I'm very sorry for that incident nakumbuka ila sikujua kama una maanisha hivyo mimi sio mtu wa hivyo aisee pole sana ndugu yangu nisamehe sana kwa Ubaya uleMwaka 2019 wakati ninasema humu JF "NSSF wanipe pesa zangu" ukaniambia siku moja "weka details zako humu nikusaidie. Ukituma PM mimi siji huko kuzisoma" . Yaani mimi nijianike humu mbele za watu baki. Basi tangia siku hiyo nikawa nakuona unajifanya matawi ya juu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]wewe zamu yako badoMimi unaninyakua lini?
It's okay with me nowYeah I'm very sorry for that incident nakumbuka ila sikujua kama una maanisha hivyo mimi sio mtu wa hivyo aisee pole sana ndugu yangu nisamehe sana kwa Ubaya ule
Sasa turudi kwenye hili suala la kunyakuana. Unataka kuninyakua ili unipeleke wapi?Lazima nikunyakue
Zamu yangu ikifika utaniambia basi ili niwaage ndugu zangu kama Remmy Ongala alivyoimba[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]wewe zamu yako bado
How about my apologies??It's okay with me now
MawinguniSasa turudi kwenye hili suala la kunyakuana. Unataka kuninyakua ili unipeleke wapi?
Hivi wewe umeolewa??Zamu yangu ikifika utaniambia basi ili niwaage ndugu zangu kama Remmy Ongala alivyoimba
Kabla ya kuninyakua, lazima leo nikwambie ukweli. Uliwahi kunikwaza saaaaana zamani.
Utekaji kwa maslahi ya taifa (defensive counterintelligence) nitaendelea kuunga mkono kwa 100% mpaka siku natakayokufa...mimi ulinikwaza sana ulivyokuwa unatetea " vikosi vya utekaji " ktk mada yako nyingine.
Okay kila la kheri mkuu katika operation yako ya kutaka kuninyakuaMawinguni
Muage yule binti yako mapemaOkay kila la kheri mkuu katika operation yako ya kutaka kuninyakua
Yameisha mkuu. Nilikaa nalo sana jambo hilo moyoni mpaka nilikuwekaga ignore list. Ila nikakutoa mwezi uliopita wa April.How about my apologies??
Sawa nitamuaga mkuuMuage yule binti yako mapema
Kwani general tyre ikufa kipindi cha mwendazake...?Swadakta kabisa mkuu, kinachoigharimu Tz yetu ni mifumo ya hovyo na ujanja² wa kiswahili. Mtoa mada + MATAGA wanahangaika sana kulinda legacy ya Jiwe, hawataki kusema ukweli kwamba uchumi wa Tz kudorora ni matokeo ya;
Hamna cha ujasusi wala nini.
- Sheria kandamizi
- siasa chafu
- ulimbukeni wa viongozi
- visasi
- wivu wa kitoto kwa wenzetu n.k n.k