Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania. Should this necessarily be "quid pro quo"?

Bora tushirikiane na wakenya majirani wetu wengine sio wazuri eg Rwanda
 
Kila siku tunaambiwa sisi ni wanyonge na tumeamini hivyo! Hata ukigawa hizo passport hatutatoka nje ya mipaka yetu kwa sababu ya unyonge .wetu. Huko nje tutaende kuongea na nani maana lugha za wajanja hatuzijui ni za mabeberu. Tutaendelea kulialia mpaka mwisho wa dahali!!!
 
Natamani sana TISS ingekua na msemaji ila ndo haiwezekani wanakufa na tai shingoni...

Naipongeza sana sana TISS wanatimiza wajibu wao ambapo machon pa wengi hili halionekani
 
Natamani sana TISS ingekua na msemaji ila ndo haiwezekani wanakufa na tai shingoni...

Naipongeza sana sana TISS wanatimiza wajibu wao ambapo machon pa wengi hili halionekani
TISS ni mashujaa wa Tanzania
 
..hebu nipe mfano mmoja wa hiyo " michezo ya kijasusi wa uchumi " ambao sisi watz tumewahi kufanya.
Mimi nimekuuliza tu mkuu je, unaamini kuwa michezo ya ujasusi wa kiuchumi huwa inafanyika sana hapa duniani?
 
Sasa sielew vodacoma wangeiuwa kwamba wa TZ wangehamia safaricom which is no zaid zaid wangesajili line za tigo,halotel au Airtel, sioni mahusiano hapo labda mtoa maada aeleze kwa kina maana CEO wa voda hata sio mtz bado ni mmisri Sasa hapo uo ujasusi ulikuwa unasaidia vipi Kenya Kama taifa endapo Vodacom ambayo hata sio Mali ya tz ingeanguka
 
Ni utapeli tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…