eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Tetetete kwenye boma ya nani?
Margwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tetetete kwenye boma ya nani?
Umetisha mkuuMargwe
Maana sielewi kabisa mkuu unajua Kuna watu uwa wanatoa maada ambazo hazina msingi au Kama story za vijiweni Yani hazina mashiko na wanashindwa kussuport wanachokianzishaNi utapeli tu
Mkuu, labda huyu mwamba My Son drink water anaweza kuwa na jibu sahihi kwako kwa maana mimi nimenukuu tu alichowahi kukisema yeye zamani mwaka 2019.Sasa sielew vodacoma wangeiuwa kwamba wa TZ wangehamia safaricom which is no zaid zaid wangesajili line za tigo,halotel au Airtel, sioni mahusiano hapo labda mtoa maada aeleze kwa kina maana CEO wa voda hata sio mtz bado ni mmisri Sasa hapo uo ujasusi ulikuwa unasaidia vipi Kenya Kama taifa endapo Vodacom ambayo hata sio Mali ya tz ingeanguka
Mambo ya hovyo sn mkuuMaana sielewi kabisa mkuu unajua Kuna watu uwa wanatoa maada ambazo hazina msingi au Kama story za vijiweni Yani hazina mashiko na wanashindwa kussuport wanachokianzisha
Wakumfunga manji na mbaazi zikashuka kuto 3000 per kg mpga 200 per kg..nipe mfano.
..labda nafahamu suala unalozungumzia lakini kwa msamiati au namna tofauti.
..nipe mfano wa tukio la ujasusi wa kiuchumi lililofanywa na Tz au watz na faida zilizopatikana.
Mkuu, mimi nimezungumzia uwezekano wa yule CEO Mkenya aliyependekezwa na Vodacom kurudi tena Tanzania endapo Rais Samia atafuta documents za kazi kama alivyofanya Rais Uhuru, lakini suala la kufa kwa Vodacom limeongelewa na kaka mkubwa My Son drink water hivyo muulize yeye kuhusiana na hilo.mkuu unajua Kuna watu uwa wanatoa maada ambazo hazina msingi au Kama story za vijiweni Yani hazina mashiko na wanashindwa kussuport wanachokianzisha
Mkuu 'Mkaruka', usidhani nakataa hayo yote uliyoandika, hasa kuhusu waTanzania kutochangamkia fursa na kuwa na visingizio. Haya ni mambo ya kawaida sana na ni mambo rahisi kabisa kuyabadili, hasa panapokuwepo na ajira finyu zinazogombaniwa na wengi. Hili haliwezi kuwa tatizo kabisa.Muhimu ni ushindani. Na kwenye dunia kama hii huwezi kukwepa ushindani kwasababu ndicho kichocheo cha ubora.
Mfano kwenye tenders, watanzania wangapi wanapata?
Ukiwapa wabongo, ndio hao kama kina Lugumi.
Tender nyingi hasa za ujenzi wachina wanachukua, sasa kuna tofauti yeyote hata wakipata wakenya?
Mfano: Kwenye banking sector, nini kinafanya banks kubwa na kongwe kama NMB, NBCna CRDB kushindwa kufungua matawi hata Kenya huko?
Huduma mbovu balaa.
Tanzania hapa kuna mabenki ya Kenya kibao: KCB, Equity,
Sisi tumebaki kulalamika tu. Ukimwajiri mbongo yaani Jumatatu anaumwa, Jumanne, kafiwa na bibi yake, Jumatano baba yake wa babu yake ana birthday, Alhamisi amepata dhatula mke wake anaumwa, Ijumaa akijitahidi atakuja kazini lakini ataomba ruhusa saa 4 asubuhi.
Wakati huo atakuwa analalamika sana mshahara hautoshi.
Wabongo tubadilike, hatuwezi kuishi hivi siku zote.
Tumekuwa kama Wazulu wa South Africa.
Unabagua kazi za kufanya, akizifanya mtu mwingine unaona wivu na chuki.
Na hata hilo la kuiua Vodacom sio swala la kutilia mashaka sana..., 'at least' lina mwelekeo unaoeleweka, na kutokana na mifano mingine ya aina hiyo, sio swala la kubeza.Mkuu, mimi nimezungumzia uwezekano wa yule CEO Mkenya aliyependekezwa na Vodacom kurudi tena Tanzania endapo Rais Samia atafuta documents za kazi kama alivyofanya Rais Uhuru, lakini suala la kufa kwa Vodacom limeongelewa na kaka mkubwa My Son drink water hivyo muulize yeye kuhusiana na hilo.
Mimi ninazungumzia dunia nzima na sio suala la Tanzania pekee.
Tenderpreneurs wana tofauti gani na hawa?Wao wenyewe huko Kenya wanalia, hivi unadhani vita hivi ni mchezo?
'Cartels' wanacheza na uchumi wa kenya, halafu wewe unasema waTanzania wanalialia?
Subiri utakaposhuhudia 'full blast' ya 'tenderpreneurs' itakapohamia hapa ndipo utaelewa vizuri.
Ninajua nakujibu wewe mkuu 'Mkaruka', naelewa mara nyingi hatujawahi kuwa pembe tofauti kimtazamo kama leo.
Muhimu ni ushindani. Na kwenye dunia kama hii huwezi kukwepa ushindani kwasababu ndicho kichocheo cha ubora.
Mfano kwenye tenders, watanzania wangapi wanapata?
Ukiwapa wabongo, ndio hao kama kina Lugumi.
Tender nyingi hasa za ujenzi wachina wanachukua, sasa kuna tofauti yeyote hata wakipata wakenya?
Mfano: Kwenye banking sector, nini kinafanya banks kubwa na kongwe kama NMB, NBCna CRDB kushindwa kufungua matawi hata Kenya huko?
Huduma mbovu balaa.
Tanzania hapa kuna mabenki ya Kenya kibao: KCB, Equity,
Sisi tumebaki kulalamika tu. Ukimwajiri mbongo yaani Jumatatu anaumwa, Jumanne, kafiwa na bibi yake, Jumatano baba yake wa babu yake ana birthday, Alhamisi amepata dhatula mke wake anaumwa, Ijumaa akijitahidi atakuja kazini lakini ataomba ruhusa saa 4 asubuhi.
Wakati huo atakuwa analalamika sana mshahara hautoshi.
Wabongo tubadilike, hatuwezi kuishi hivi siku zote.
Tumekuwa kama Wazulu wa South Africa.
Unabagua kazi za kufanya, akizifanya mtu mwingine unaona wivu na chuki.
Sisi tumepoteza muda mwingi tukiwa tunahangaika kuvizia wafanyabiashara na wanasiasa kwa kudukua mawasiliano na akaunti zao ili waingie kwenye kundi la 1.) Kuhujumu uchumi au,(2) kutakatisha fedha!!!!Mwaka juzi wa 2019 Mwezi November, JF Member My Son drink water aliwahi kusema kwamba "Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania, nashukuru Mungu tena dakika za mwisho TISS walistukia mchezo vinginevyo VodaCom nayo ilikuwa inakufa na ingekuja kufufukia Kenya"
==========
==========
Habari zenu waungwana wa jamiiforums
FRIDAY SEPTEMBER 28, 2018: Vodacom Tanzania said on Friday the government had denied its incoming chief executive officer, a Kenyan, a work permit, and it would have to restart the recruitment process.
In April, Vodacom Tanzania named Sylvia Mulinge, at the time head of business at Kenya's biggest telecoms operator Safaricom to the post. She was meant to take up her position on June 1.
==========
==========
Kwani kama mtu alikuchangia USD 200 katika maandalizi ya harusi yako ni lazima na wewe umpe kiasi hicho hicho cha pesa yeye atakapokuwa anajiandaa kuoa/kuolewa?
Kwani kitendo cha Rais Uhuru Kenyatta kufuta work permits pamoja na Business Visas ni lazima kiwe nipe nikupe (quid pro quo) kwa taifa kubwa la Tanzania? Kuna ulazima wowote wa Tanzania nayo kufuta vibali hivyo kwa raia wa Kenya?
==========
==========
Baada ya Rais Kenyatta kufuta documents kwa wafanyakazi wa Tanzania ndio ninakumbuka maneno yaliyopo humu humu JF ya member mmoja anayetumia jina la My Son drink water kwamba;
"65% ya viwanda vilivyokufa Tanzania vilikuja kufufukia Kenya, tafsiri yake ni kwamba, Usalama wa Taifa wa Kenya, KNIA walifanya yao huku TISS yetu ikiwa imelala, na Kiwanda cha mwisho kuhamia Kenya ni cha General Tyres, yaani ajira zinakufa Tanzania kisha zinawafufukia Wakenya. Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania, nashukuru Mungu tena dakika za mwisho TISS walistukia mchezo vinginevyo VodaCom nayo ilikuwa inakufa na ingekuja kufufukia Kenya"
SWALI: Tutegemee "Sylvia Mulinge" wa Safaricom kurudi kuwa CEO wa Vodacom endapo Tanzania itafuta work permits pamoja na Business Visas kwa raia wa Kenya?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Relax..tz ni sehemu ya dunia.
..kwa hiyo naomba unieleze tukio la ujasusi wa kiuchumi ambalo limewahi kufanywa na tz au watz na faida tulizozipata.
Ongeza kwenye orodha hiyo LUGUMI..., na wapo wengine wengi tu!Tenderpreneurs wana tofauti gani na hawa?
Mayanga
Utalii Festival
Kagoda
Meremeta
EPA
Escrow
Kiwira
Mkulima wa South
ATCL
Waharibifu wa soko la korosho kusini
CHATO airport
Ongeza kwenye orodha hiyo LUGUMI..., na wapo wengine wengi tu!
Kwa hiyo tutakuwa na nafuu tukiongeza na wajuzi zaidi ya hao waliopo hapa tayari?
Baada ya haya anayoyafanya mama; kilichobaki sasa nasubiri kusikia njia zake atakazozitumia kuhakikisha kwamba biashara huru na halali sio sawa na zile za kinyang'anyi.
Nasubiri kusikia mipango yake madhubuti aliyoiandaa kuwabana wanyang'anyi.
Hao siwasahau kamwe na wala siwashangilii.Usiwasahau na wanyang'anyi Task force waliokomba pesa za Mbowe na wafanyabiashara wengine kinyume cha sheria.
TISS wanaowajibu pia wa kumonitor mazingira hayo..nadhani tunakosea sana kuwakweza TISS na kukabidhi maisha yetu mikononi mwao.
..suala la viwanda kufa au kustawi linategemeana na mazingira ya kibiashara yaliyoko Tz.
Ndiyo, we’re full of pride, so kwa hivyo wataka tuwe kama nyinyi? Waoga, wanyonge kisha with low self esteem on top of that?They are overrated and full of proud