Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania. Should this necessarily be "quid pro quo"?

Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania. Should this necessarily be "quid pro quo"?

Swadakta kabisa mkuu, kinachoigharimu Tz yetu ni mifumo ya hovyo na ujanja² wa kiswahili. Mtoa mada + MATAGA wanahangaika sana kulinda legacy ya Jiwe, hawataki kusema ukweli kwamba uchumi wa Tz kudorora ni matokeo ya;
  • Sheria kandamizi
  • siasa chafu
  • ulimbukeni wa viongozi
  • visasi
  • wivu wa kitoto kwa wenzetu n.k n.k
Hamna cha ujasusi wala nini.
Nakuona jasusi wa Kenya unavyotetea hoja zenye maslahi kwenu. Mkija Tanzania tutawafanyia vurugu haswaa.
 
Kwa kuongea sawa Ila kwa facts na kuset mipango wale wenzetu walitangulia na hawana Mambo ya ndugu au rafiki kwenye pesa.

Hawaendi dukani na kusema naomba sabuni ya Mia tano Bali husema NIPE sabuni ya Mia tano
Swala la naomba na nipe ni matumizi tu ya kiswahili cha Kenya na Tanzania ndio maana wao mke wanaita bibi wakati sisi bibi ni mama yake na baba/mama.
 
Swala la naomba na nipe ni matumizi tu ya kiswahili cha Kenya na Tanzania ndio maana wao mke wanaita bibi wakati sisi bibi ni mama yake na baba/mama.
Pesa yako ulioitafuta huwez enda dukan useme naomba ndomana wenye maduka au watoa huduma madukan hujiona wamepatia sababu ya lugha za wateja wao mwishon huanguka vibaya ufanye hii sentesi vise versa kwa upande wa kenya

Kwao MKE hawajali Kama watanzania wanavyojali mke ndomana guitwa Bibi mwanaume au mwanamke wa Kenya anaeza ondoka nyumban wiki mbili na wasiulizane upo wap wakati Tanzania nusu saa tuu we Malaya upo wapi.
 
Ndio maana Wakenya wanapigwa sana na wake zao.
 
Pesa yako ulioitafuta huwez enda dukan useme naomba ndomana wenye maduka au watoa huduma madukan hujiona wamepatia sababu ya lugha za wateja wao mwishon huanguka vibaya ufanye hii sentesi vise versa kwa upande wa kenya
Watanzania ni wakarimu sana ndio maana hata wakimbizi wanakuja kuhifadhiwa huku kwetu
 
Inaweza ikawa n sababu pia
Kama mwanaume wa Kenya anapigwa na mkewe atawezaje kupambana na mwanaume shujaa wa Tanzania? Tanzania ni kiboko ya nchi zingine zote za Afrika ya Mashariki na Kati.
 
Mnanipa sifa sio zangu jama!! Mi ni mtanzania mzalendoo tuu!!!!...

N.B
Pimbi mmoja tu!!/Hohe hae!!!

Sijui chochote kuhusiana na Tiss ....
Nilitoa maon tu:
Sawa mkuu, mimi pia bado nipo ninaendesha ile Taxi yangu ninaangalia kama ninaweza kuiuza ili ninunue walau bodaboda kwa maana biashara imekuwa ngumu sana kwa sababu ya bajaj.
 
Back
Top Bottom