Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #221
Nimefanyaje tena mkuu Taxi driver mimi?Ata wewe boss wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefanyaje tena mkuu Taxi driver mimi?Ata wewe boss wangu
tunaona matokeo yao kwenye ulinzi na usalama tu na pengine kwa juhudi za millitary intelligency, viwanda vyote vilihamia kenya, ni wakati wa Mzee Magufuli tu tuliweza kufua dafu kidogo na sasa tunaona mama anaturudisha nyumaAsee ni vile mko mbali na systeam...hivo amuwez jua lolote...
Hakuna watu wanaopambana usiku na mchana kama Tz Intell!genc!!!!!(Tiss"""Mi"")
Fanya kweliNimefanyaje tena mkuu Taxi driver mimi?
Bado nina imani kubwa sana na Rais Samiani wakati wa Mzee Magufuli tu tuliweza kufua dafu kidogo na sasa tunaona mama anaturudisha nyuma
yupo kwenye mtego mkubwa sana hasa wa vita ya kiuchumi, yapo maeneo ambayo wadau walikuwa wanalalamika lakini kiuhalisia tulikuwa tunaenda vizuri na yapo maeneo wadau walikuwa wanashangilia lakini kiukweli tulikuwa vibaya, MAMA ANATAKIWA AWEZE KUYABAINISHA HAYA. MUNGU IBARIKI TANZANIABado nina imani kuwa sana na Rais Samia
Hii mentality inatutia aibu sana.Kwani baada ya kumkataa Sylivia Mulinge kuna mtanzania anayeendesha VodaCom kama CEO au shida ni Mkenya ??
Ziara ya Rais Samia ni kubwa na imechukuliwa kwa ukubwa sana na wakenya ila kwetu sisi,
Muda wote ni wanyonge kazi yetu ni kujishuku shuku muda wote, kujiona wanyonge tutapigwa, hatujiwezi. Aisee
Huu ni ulemavu hakika.
Ningekuwa Rais nchi hii, ningegawa passport kwa kila mtu akazurule huko nje labda unyoronyoro ungetoka.
Mbongo muda wote ni kulalamika na kuhisihisi kujiona anaonewa muda wote.
This is too much.
Mkuu, nimejikuta ninacheka sana. Umeandika kwa hisia na masikitiko kweli kweliHii mentality inatutia aibu sana.
Bila shaka Wakenya wanakulipa kuichafua nchi yetu wee jamaa..wenzetu wamewekeza kwenye UBUNIFU, sisi tumeng'ang'ania siasa na uzalendo uchwara.
Tukomae mkuu...Mama atatuvusha:Sawa mkuu, mimi pia bado nipo ninaendesha ile Taxi yangu ninaangalia kama ninaweza kuiuza ili ninunue walau bodaboda kwa maana biashara imekuwa ngumu sana kwa sababu ya bajaj.
Bila shaka Wakenya wanakulipa kuichafua nchi yetu wee jamaa
Mbona watanzania wengi wanashika nafasi ndani ya taasisi zilizo chini ya EAC? Mpaka spika wa bunge la EAC aliwahi kuwa mtanzania...Binafsi nataka na sisi tuanze kuwa VIONGOZI ktk jumuiya. Tufanye jambo fulani ambalo sisi tutakuwa mstari wa mbele na siyo kuwa nyuma kila wakati.
Mbona watanzania wengi wanashika nafasi ndani ya taasisi zilizo chini ya EAC? Mpaka spika wa bunge la EAC aliwahi kuwa mtanzania.
Safi saaaana mkuu. Tanzania kwanza siasa baadae.Utaifa mbele, Tanzania kwanza.
Nyie Wakenya ni watu wabaya sana1-umesoma?
2-umeomba kazi ukanyimwa?
3-una connection hata ya jamaa zako KE?
4-una hela ya ziada ya kujisaidia ukiwa ugenini?
5-unaweza kujituma bila kulalamika?
6-mwisho, what's your future plans wakati unataka kufanya kazi inje?
NB:Ukijijibu hayo, bila shaka hutaona wa kukubwaga maishani kwa lolote utakalotaka kufanya, pahali popote pale duniani!
Sawa!Nyie Wakenya ni watu wabaya sana
Mkija huku TZ tutawapigaSawa!
Soja niuzie Taxi yako 2.6M?Nimefanyaje tena mkuu Taxi driver mimi?
Hakika mkuuSafi saaaana mkuu. Tanzania kwanza siasa baadae.
Nakuunga mkono kwenye hili...Huwezi kwenda na kila kitu bila kutengeneza niech yako.....nazungumzia wananchi wa kawaida, au nchi ktk ujumla wake. lazima tuwe na jambo fulani ambalo Tz tunaongoza ktk afrika mashariki.
..kwa mfano, kwanini Tz isiongoze kwa kuwa na elimu bora kabisa ktk Afrika Mashariki. Yaani tuboreshe elimu yetu kiasi kwamba hakuna mjadala kwamba elimu ya Tz ndiyo the best, na watu wote wa Afrika Mashariki wanatamani kuja kusoma ktk vyuo vikuu vya Tz.
..Au kwanini tusiwe vinara ktk uzalishaji viwandani. tunaweza kuamua sisi kuwa ndio center ya viwanda vya nafaka, madawa, etc etc ktk Afrika mashariki. Na nchi zote zikawa zinategemea Tz linapokuja suala la nafaka au madawa.