Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania. Should this necessarily be "quid pro quo"?

Nakuunga mkono kwenye hili...Huwezi kwenda na kila kitu bila kutengeneza niech yako...

..asante.

..kinachoniumiza mimi ni kwamba mtizamo wetu kuhusu eac haujabadilika ni uleule tuliokuwa nao tangu 1996.

..miaka 25 ya kuwa wanachama wa eac ninaamini ilikuwa inatosha kabisa kuwaandaa wananchi wetu kuweza kuishi popote ktk eac.
 
Mkuu, kwani watanzania hakuna katika nchi zingine wanachama wa EAC?
 
I am a Kenyan and i am really suprised that Wakenya wanachukiwa na Watanzania. Nimekuwa na fursa ya kukutana na kufanya kazi na wahandisi wa Tanzania (TANESCO) and i can really say, they are as brilliant as their Kenyans Counterparts. Sijui hii chuki yote katoka wapi. We are neighbours na sisi ni ndugu. Ofcourse there might be rotten apples amongst ourselves but this shouldn't be construed to mean Kenyans are Bad.
Nawapenda sana Wabongo, kwanza wanapoongea hiyo lugha ya Kiswahili. I wish Kiswahili was the language of Instruction at our education institutions.
Tanzania hakuna ukabila kwenye siasa....Siasa yenu is based on party ideologies and you should be proud of this. Hapa kwetu, ukitaja jina lako, nitajua with 95% confidence wewe unaegemea upande gani kisiasa. Hii huleta migogoro kila baada ya miaka tano!
Kihistoria najua kuna makabila kadhaa huko TZ but kwa mara kwanza ndo nimesikia yakitajwa kwa chuki....sijui Wasukuma sijui Wachaaga....
Kama wimbo wenyu wakitaifa, "Mungu Ibariki Tanzania," naomba pia Mungu aibariki Afrika Mashariki. We are Brothers and we should complement each other rather than fight each other.
 
Soko la ajira limejaa huko Kenya, sasa Rais Kenyatta amefuta documents sisi tuje kufanya nini huko?
 
Watanzania ni wakarimu sana ndio maana hata wakimbizi wanakuja kuhifadhiwa huku kwetu
Wakimbizi gani hao ambao wanaruka kutoka karai hadi kwenye moto? Unawafahamu tundu lissu? Je godbless lema? Na je stella nyanzi? Walitoroka wakaenda nchi gani? Jibu baki nalo.

Tz ni nchi inayozalisha wakimbizi na hamna lolote nyinyi, kile mnachowezana ni kujigamba gamba hapa mitandaoni.
 
Kama mwanaume wa Kenya anapigwa na mkewe atawezaje kupambana na mwanaume shujaa wa Tanzania? Tanzania ni kiboko ya nchi zingine zote za Afrika ya Mashariki na Kati.
Nyinyi hamna lolote, nchi kubwa yenye rasilimali nyingi kama yenu haifai kuwa maskini. Mpaka mnashindwa na nchi ndogo kama Kenya kwa kila kitu, nchi isiyo na rasili mali yoyote. Kisha mwaja kujisifu ya kwamba nyinyi ndio kiboko ya nchi zingine zote za afrika ya mashariki?

😂😂

Watz mna mambo
 
Tz ni nchi inayozalisha wakimbizi na hamna lolote nyinyi, kile mnachowezana ni kujigamba gamba hapa mitandaoni.
Vurugu za kisiasa za mwaka 2007 nchini Kenya zilizalisha wakimbizi wengi sana kuja Tanzania
 
Sina uhakika lakini hilo tekeo lilisababishwa na siasa chafu na usalama na utulivu uliporejea nchini walirudi nyumbani.

Je hao wakimbizi niliyowataja walirudi?
 
Back
Top Bottom