Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Sawa!Mkija huku TZ tutawapiga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa!Mkija huku TZ tutawapiga
Nakuunga mkono kwenye hili...Huwezi kwenda na kila kitu bila kutengeneza niech yako...
Mkuu, kwani watanzania hakuna katika nchi zingine wanachama wa EAC?..miaka 25 ya kuwa wanachama wa eac ninaamini ilikuwa inatosha kabisa kuwaandaa wananchi wetu kuweza kuishi popote ktk eac.
Misri haina border na sisi ndio maana hatuna shida naoKwani baada ya kumkataa Sylivia Mulinge kuna mtanzania anayeendesha VodaCom kama CEO au shida ni Mkenya ??
Kwahiyo shida siyo working permit wala Kulinda ajira za wazawa bali ni vita tu na Wakenya.Misri haina border na sisi ndio maana hatuna shida nao
Shida ni vyote kwa pamojaKwahiyo shida siyo working permit wala Kulinda ajira za wazawa bali ni vita tu na Wakenya.
Mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote.Shida ni vyote kwa pamoja
Kenya hawatapata hata kimoja kutoka TanzaniaMtaka vyote kwa pupa hukosa vyote.
Wakizidisha fyokofyoko tunafunga nao mipaka yoteKenya hawatapata hata kimoja kutoka Tanzania
Soko la ajira limejaa huko Kenya, sasa Rais Kenyatta amefuta documents sisi tuje kufanya nini huko?I am a Kenyan and i am really suprised that Wakenya wanachukiwa na Watanzania. Nimekuwa na fursa ya kukutana na kufanya kazi na wahandisi wa Tanzania (TANESCO) and i can really say, they are as brilliant as their Kenyans Counterparts. Sijui hii chuki yote katoka wapi. We are neighbours na sisi ni ndugu. Ofcourse there might be rotten apples amongst ourselves but this shouldn't be construed to mean Kenyans are Bad.
Nawapenda sana Wabongo, kwanza wanapoongea hiyo lugha ya Kiswahili. I wish Kiswahili was the language of Instruction at our education institutions.
Tanzania hakuna ukabila kwenye siasa....Siasa yenu is based on party ideologies and you should be proud of this. Hapa kwetu, ukitaja jina lako, nitajua with 95% confidence wewe unaegemea upande gani kisiasa. Hii huleta migogoro kila baada ya miaka tano!
Kihistoria najua kuna makabila kadhaa huko TZ but kwa mara kwanza ndo nimesikia yakitajwa kwa chuki....sijui Wasukuma sijui Wachaaga....
Kama wimbo wenyu wakitaifa, "Mungu Ibariki Tanzania," naomba pia Mungu aibariki Afrika Mashariki. We are Brothers and we should complement each other rather than fight each other.
Wakimbizi gani hao ambao wanaruka kutoka karai hadi kwenye moto? Unawafahamu tundu lissu? Je godbless lema? Na je stella nyanzi? Walitoroka wakaenda nchi gani? Jibu baki nalo.Watanzania ni wakarimu sana ndio maana hata wakimbizi wanakuja kuhifadhiwa huku kwetu
Wanatoka Burundi na DRC kuja TanzaniaWakimbizi gani hao ambao wanaruka kutoka karai hadi kwenye moto?
Hawa wooote wamekimbilia Ulaya kukwepa bank loans nchini TanzaniaUnawafahamu tundu lissu? Je godbless lema?
Nyinyi hamna lolote, nchi kubwa yenye rasilimali nyingi kama yenu haifai kuwa maskini. Mpaka mnashindwa na nchi ndogo kama Kenya kwa kila kitu, nchi isiyo na rasili mali yoyote. Kisha mwaja kujisifu ya kwamba nyinyi ndio kiboko ya nchi zingine zote za afrika ya mashariki?Kama mwanaume wa Kenya anapigwa na mkewe atawezaje kupambana na mwanaume shujaa wa Tanzania? Tanzania ni kiboko ya nchi zingine zote za Afrika ya Mashariki na Kati.
Vurugu za kisiasa za mwaka 2007 nchini Kenya zilizalisha wakimbizi wengi sana kuja TanzaniaTz ni nchi inayozalisha wakimbizi na hamna lolote nyinyi, kile mnachowezana ni kujigamba gamba hapa mitandaoni.
😂😂Hawa wooote wamekimbilia Ulaya kukwepa bank loans nchini Tanzania
Sina uhakika lakini hilo tekeo lilisababishwa na siasa chafu na usalama na utulivu uliporejea nchini walirudi nyumbani.Vurugu za kisiasa za mwaka 2007 nchini Kenya zilizalisha wakimbizi wengi sana kuja Tanzania
Watarudi labda baada ya mabwana zao hao wazungu kuwapa pesa ya kulipa hayo madeniJe hao wakimbizi niliyowataja walirudi?
Siasa chafu ndani ya nchi chafuSina uhakika lakini hilo tekeo lilisababishwa na siasa chafu na usalama na utulivu uliporejea nchini walirudi nyumbani.