Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania. Should this necessarily be "quid pro quo"?

Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania. Should this necessarily be "quid pro quo"?

Asee ni vile mko mbali na systeam...hivo amuwez jua lolote...

Hakuna watu wanaopambana usiku na mchana kama Tz Intell!genc!!!!!(Tiss"""Mi"")
tunaona matokeo yao kwenye ulinzi na usalama tu na pengine kwa juhudi za millitary intelligency, viwanda vyote vilihamia kenya, ni wakati wa Mzee Magufuli tu tuliweza kufua dafu kidogo na sasa tunaona mama anaturudisha nyuma
 
Bado nina imani kuwa sana na Rais Samia
yupo kwenye mtego mkubwa sana hasa wa vita ya kiuchumi, yapo maeneo ambayo wadau walikuwa wanalalamika lakini kiuhalisia tulikuwa tunaenda vizuri na yapo maeneo wadau walikuwa wanashangilia lakini kiukweli tulikuwa vibaya, MAMA ANATAKIWA AWEZE KUYABAINISHA HAYA. MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Kwani baada ya kumkataa Sylivia Mulinge kuna mtanzania anayeendesha VodaCom kama CEO au shida ni Mkenya ??

Ziara ya Rais Samia ni kubwa na imechukuliwa kwa ukubwa sana na wakenya ila kwetu sisi,

Muda wote ni wanyonge kazi yetu ni kujishuku shuku muda wote, kujiona wanyonge tutapigwa, hatujiwezi. Aisee

Huu ni ulemavu hakika.

Ningekuwa Rais nchi hii, ningegawa passport kwa kila mtu akazurule huko nje labda unyoronyoro ungetoka.

Mbongo muda wote ni kulalamika na kuhisihisi kujiona anaonewa muda wote.

This is too much.
Hii mentality inatutia aibu sana.
 
Sawa mkuu, mimi pia bado nipo ninaendesha ile Taxi yangu ninaangalia kama ninaweza kuiuza ili ninunue walau bodaboda kwa maana biashara imekuwa ngumu sana kwa sababu ya bajaj.
Tukomae mkuu...Mama atatuvusha:
 
Bila shaka Wakenya wanakulipa kuichafua nchi yetu wee jamaa

..kuna sarafu ya afrika mashariki inakuja.

..kuna mfumo wa utawala wa konfedereshen umependekezwa na tume ya wataalam.

..sasa tujiulize tunajiandaa namna gani na mabadiliko hayo?

..Jumuiya imeanzishwa mwaka 1996, kama sijakosea, lakini kila wakati Watz tuko defensive, mara kwa mara tunaonekana tunaingia makubaliano fulani halafu baadae tunashindwa kuyatekeleza.

..Binafsi nataka na sisi tuanze kuwa VIONGOZI ktk jumuiya. Tufanye jambo fulani ambalo sisi tutakuwa mstari wa mbele na siyo kuwa nyuma kila wakati.
 
Kuna sheria iliopo kati ya mawasialiano au ushirikiano wa nchi na nchi hivyo mpaka wanashirikiano hivyo tayari kuna limit/kiwango/mipaka ishawekwa .
Naomba niishie hapo.
Niko nje hapo mlimani karibuni sana
 
..Binafsi nataka na sisi tuanze kuwa VIONGOZI ktk jumuiya. Tufanye jambo fulani ambalo sisi tutakuwa mstari wa mbele na siyo kuwa nyuma kila wakati.
Mbona watanzania wengi wanashika nafasi ndani ya taasisi zilizo chini ya EAC? Mpaka spika wa bunge la EAC aliwahi kuwa mtanzania.
 
Mbona watanzania wengi wanashika nafasi ndani ya taasisi zilizo chini ya EAC? Mpaka spika wa bunge la EAC aliwahi kuwa mtanzania.

..nazungumzia wananchi wa kawaida, au nchi ktk ujumla wake. lazima tuwe na jambo fulani ambalo Tz tunaongoza ktk afrika mashariki.

..kwa mfano, kwanini Tz isiongoze kwa kuwa na elimu bora kabisa ktk Afrika Mashariki. Yaani tuboreshe elimu yetu kiasi kwamba hakuna mjadala kwamba elimu ya Tz ndiyo the best, na watu wote wa Afrika Mashariki wanatamani kuja kusoma ktk vyuo vikuu vya Tz.

..Au kwanini tusiwe vinara ktk uzalishaji viwandani. tunaweza kuamua sisi kuwa ndio center ya viwanda vya nafaka, madawa, etc etc ktk Afrika mashariki. Na nchi zote zikawa zinategemea Tz linapokuja suala la nafaka au madawa.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
1-umesoma?
2-umeomba kazi ukanyimwa?
3-una connection hata ya jamaa zako KE?
4-una hela ya ziada ya kujisaidia ukiwa ugenini?
5-unaweza kujituma bila kulalamika?
6-mwisho, what's your future plans wakati unataka kufanya kazi inje?

NB:Ukijijibu hayo, bila shaka hutaona wa kukubwaga maishani kwa lolote utakalotaka kufanya, pahali popote pale duniani!
Nyie Wakenya ni watu wabaya sana
 
..nazungumzia wananchi wa kawaida, au nchi ktk ujumla wake. lazima tuwe na jambo fulani ambalo Tz tunaongoza ktk afrika mashariki.

..kwa mfano, kwanini Tz isiongoze kwa kuwa na elimu bora kabisa ktk Afrika Mashariki. Yaani tuboreshe elimu yetu kiasi kwamba hakuna mjadala kwamba elimu ya Tz ndiyo the best, na watu wote wa Afrika Mashariki wanatamani kuja kusoma ktk vyuo vikuu vya Tz.

..Au kwanini tusiwe vinara ktk uzalishaji viwandani. tunaweza kuamua sisi kuwa ndio center ya viwanda vya nafaka, madawa, etc etc ktk Afrika mashariki. Na nchi zote zikawa zinategemea Tz linapokuja suala la nafaka au madawa.
Nakuunga mkono kwenye hili...Huwezi kwenda na kila kitu bila kutengeneza niech yako...
 
Back
Top Bottom