Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #201
Biblia ilisema "TUISHI NAO KWA AKILI"Hata hivyo kushirikiana nao siyo dhambi ila the how matters a lot!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biblia ilisema "TUISHI NAO KWA AKILI"Hata hivyo kushirikiana nao siyo dhambi ila the how matters a lot!
Nakuona jasusi wa Kenya unavyotetea hoja zenye maslahi kwenu. Mkija Tanzania tutawafanyia vurugu haswaa.Swadakta kabisa mkuu, kinachoigharimu Tz yetu ni mifumo ya hovyo na ujanja² wa kiswahili. Mtoa mada + MATAGA wanahangaika sana kulinda legacy ya Jiwe, hawataki kusema ukweli kwamba uchumi wa Tz kudorora ni matokeo ya;
Hamna cha ujasusi wala nini.
- Sheria kandamizi
- siasa chafu
- ulimbukeni wa viongozi
- visasi
- wivu wa kitoto kwa wenzetu n.k n.k
Mtanzania mmoja anaweza akashindana na Wakenya 3Tanzania inaweza kushindana na Kenya Ila watanzania hawawezi kushindana na wakenya
Kwa kuongea sawa Ila kwa facts na kuset mipango wale wenzetu walitangulia na hawana Mambo ya ndugu au rafiki kwenye pesa.Mtanzania mmoja anaweza akashindana na Wakenya 3
Swala la naomba na nipe ni matumizi tu ya kiswahili cha Kenya na Tanzania ndio maana wao mke wanaita bibi wakati sisi bibi ni mama yake na baba/mama.Kwa kuongea sawa Ila kwa facts na kuset mipango wale wenzetu walitangulia na hawana Mambo ya ndugu au rafiki kwenye pesa.
Hawaendi dukani na kusema naomba sabuni ya Mia tano Bali husema NIPE sabuni ya Mia tano
Pesa yako ulioitafuta huwez enda dukan useme naomba ndomana wenye maduka au watoa huduma madukan hujiona wamepatia sababu ya lugha za wateja wao mwishon huanguka vibaya ufanye hii sentesi vise versa kwa upande wa kenyaSwala la naomba na nipe ni matumizi tu ya kiswahili cha Kenya na Tanzania ndio maana wao mke wanaita bibi wakati sisi bibi ni mama yake na baba/mama.
Ndio maana Wakenya wanapigwa sana na wake zao.Kwao MKE hawajali Kama watanzania wanavyojali mke ndomana guitwa Bibi mwanaume au mwanamke wa Kenya anaeza ondoka nyumban wiki mbili na wasiulizane upo wap wakati Tanzania nusu saa tuu we Malaya upo wapi.
Watanzania ni wakarimu sana ndio maana hata wakimbizi wanakuja kuhifadhiwa huku kwetuPesa yako ulioitafuta huwez enda dukan useme naomba ndomana wenye maduka au watoa huduma madukan hujiona wamepatia sababu ya lugha za wateja wao mwishon huanguka vibaya ufanye hii sentesi vise versa kwa upande wa kenya
Inaweza ikawa n sababu piaNdio maana Wakenya wanapigwa sana na wake zao.
Ukarimu wa watanzania kwenye dunia ya Sasa hauna maana zaid ya kuongeza umaskiniWatanzania ni wakarimu sana ndio maana hata wakimbizi wanakuja kuhifadhiwa huku kwetu
Hongera sana mkuu. Unafanya kazi TISS?Asee ni vile mko mbali na systeam...hivo amuwez jua lolote...
Hakuna watu wanaopambana usiku na mchana kama Tz Intell!genc!!!!!(Tiss"""Mi"")
Marekani na ubabe plus silaha zake zote za kisasa bado anafanya ukarimu kupitia shirika la USAID.Ukarimu wa watanzania kwenye dunia ya Sasa hauna maana zaid ya kuongeza umaskini
Kama mwanaume wa Kenya anapigwa na mkewe atawezaje kupambana na mwanaume shujaa wa Tanzania? Tanzania ni kiboko ya nchi zingine zote za Afrika ya Mashariki na Kati.Inaweza ikawa n sababu pia
Mnanipa sifa sio zangu jama!! Mi ni mtanzania mzalendoo tuu!!!!...Hongera sana mkuu. Unafanya kazi TISS?
kupambana vipi mkuu mbona hatuoni battle?Asee ni vile mko mbali na systeam...hivo amuwez jua lolote...
Hakuna watu wanaopambana usiku na mchana kama Tz Intell!genc!!!!!(Tiss"""Mi"")
nipe connection na mimi mkuu nizame uko kitengoMnanipa sifa sio zangu jama!! Mi ni mtanzania mzalendoo tuu!!!!...
N.B
Pimbi mmoja tu!!/Hohe hae!!!
Sijui chochote kuhusiana na Tiss ....
Nilitoa maon tu:
Sawa mkuu, mimi pia bado nipo ninaendesha ile Taxi yangu ninaangalia kama ninaweza kuiuza ili ninunue walau bodaboda kwa maana biashara imekuwa ngumu sana kwa sababu ya bajaj.Mnanipa sifa sio zangu jama!! Mi ni mtanzania mzalendoo tuu!!!!...
N.B
Pimbi mmoja tu!!/Hohe hae!!!
Sijui chochote kuhusiana na Tiss ....
Nilitoa maon tu:
mhhhnipe connection na mimi mkuu nizame uko kitengo
Ata wewe boss wangumhhh
aiseekupambana vipi mkuu mbona hatuoni battle?