Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania. Should this necessarily be "quid pro quo"?

Tanzania tuna vitega uchumi vingi kuliko Kenya,tunaweza kuwapita kiuchumi kama tukitulia na kufanya mambo yetu!
Mbona tayari tulishatulia miaka mingi sana na tangia enzi hizo tupo tunafanya mambo yetu.
 
Mimi nafikiri Watanzania tuache kuendelea kulia lia! Tufanye kazi kwa bidii kuinua uchumi wetu.Tanzania tuna vitega uchumi vingi kuliko Kenya,tunaweza kuwapita kiuchumi kama tukitulia na kufanya mambo yetu!
Labda ni wewe peke yako ndiye unayelialia
 
Mimi nafikiri Watanzania tuache kuendelea kulia lia! Tufanye kazi kwa bidii kuinua uchumi wetu.Tanzania tuna vitega uchumi vingi kuliko Kenya,tunaweza kuwapita kiuchumi kama tukitulia na kufanya mambo yetu!
Achana na mawazo ya kitoto mdogo wangu. Au jukwaa zito linakuzidi umri?
 
Back
Top Bottom