Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Haswa tena kijani kibichi na zidumu fikra za MwenyekitiNakuona kada wa chama cha kijani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswa tena kijani kibichi na zidumu fikra za MwenyekitiNakuona kada wa chama cha kijani
Nipe na mimi kadi ya hicho chama basi mkuu.Haswa tena kijani kibichi na zidumu fikra za Mwenyekiti
Huu ni ukatili wa kijinsia mkuuMke wangu ninamlinda sana. Ninamtandika makofi kwa makosa ya kusingizia kila baada ya mwezi mmoja ili aniogope.
Unaoa lini?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]wewe zamu yako bado
Umetoka chadema siku hizi?Haswa tena kijani kibichi na zidumu fikra za Mwenyekiti
Weka picha tuioneUmetoka chadema siku hizi?
Njoo chukuaNipe na mimi kadi ya hicho chama basi mkuu.
Nilioa kipindi Kikwete anaingia madarakaniUnaoa lini?
Wewe si ulikuwa unajiita kamanda wa RED BRIGADE ya Mbowe?Weka picha tuione
Subiri namshughulikia wifi yakoWewe si ulikuwa unajiita kamanda wa RED BRIGADE ya Mbowe?
Mbona kazi siku zote inafanyikaMimi nafikiri Watanzania tuache kuendelea kulia lia! Tufanye kazi kwa bidii kuinua uchumi wetu.
Mbona tayari tulishatulia miaka mingi sana na tangia enzi hizo tupo tunafanya mambo yetu.Tanzania tuna vitega uchumi vingi kuliko Kenya,tunaweza kuwapita kiuchumi kama tukitulia na kufanya mambo yetu!
Watanzania tunafanya Sana kaziMbona kazi siku zote inafanyika
Labda ni wewe peke yako ndiye unayelialiaMimi nafikiri Watanzania tuache kuendelea kulia lia! Tufanye kazi kwa bidii kuinua uchumi wetu.Tanzania tuna vitega uchumi vingi kuliko Kenya,tunaweza kuwapita kiuchumi kama tukitulia na kufanya mambo yetu!
Achana na mawazo ya kitoto mdogo wangu. Au jukwaa zito linakuzidi umri?Mimi nafikiri Watanzania tuache kuendelea kulia lia! Tufanye kazi kwa bidii kuinua uchumi wetu.Tanzania tuna vitega uchumi vingi kuliko Kenya,tunaweza kuwapita kiuchumi kama tukitulia na kufanya mambo yetu!
TISS hamtaki SSH acheni unafiki hasara alileta jiwe lenu.
@Mkomavu @Infantry Soldier
Wewe tambua kwamba tumepata hasara inji hii.
Hiyo niliyoandika hapa inakutosheni kama hamuelewi sasa subirishia hadi 2025 mtaelewa kwa kina.