Kenya imefungua anga kwa mataifa 11

Kenya imefungua anga kwa mataifa 11

Mbona ni kauli ya kawaida sana ..taifa kama Nigeria, Egypt , S.Africa mbona hawajatajwa ivyo wandugu msilalamike
 
Ohooooo tusipofunga mipaka basi tutafungiwa......Sugu!
Nakuambia hili la kufungiana mipaka Kenya watauia zaidi kwenye utalii. Walikuwa wanashawishi wageni kupitia vivutio vya Tanzania sasa wakija watashindwa kuvuka mpaka kuja Tanzania.

Ngoja tuone haya mambo yatafikia wapi.
 
Nilisikia Jiwe kawapiga pini kuhudhuria mazishi ya Mzee mkapa. Ndege ya KQ ilifika pale kilimanjaro ikanyimwa ruksa ya kutua
Uongo. Msiba ulikuwa kilimanjaro au dsm na mtwara? Nachoweza kubali ni kuwa walitafta sababu ya kiufundi wasitue nchini kwa kuogopa corona. Hivyo wakajifanya wanaingia nchini lkb ki ufundi/hali ya hewa ikazuia. Hiyo ni zuga, wanatunyanyapaa watanzania
 
Naona huyu mwandishi kaandika ukweli kwamba Kenyatta ndio alianza chokochoko 👇👇👇

DIPLOMATIC ROW

Tanzania locked out as Kenya resumes international flights
Tanzania locked out of list of countries allowed into Kenya

In Summary

•On Tuesday, the Ministry of Foreign Affairs denied claims that the Kenyan delegation to President Benjamin Mkapa’s funeral was turned back mid-air by the Tanzanian authorities.

•The claims of possible retaliation by Tanzania were linked to comments made by President Uhuru Kenyatta on Monday.

by PATRICK VIDIJA News

Kenyan First Lady Margaret Kenyatta and Presidents Uhuru Kenyatta (Kenya) and John Magufuli (Tanzania) at State House in Nairobi, November 1, 2016. /PSCU

Kenyan First Lady Margaret Kenyatta and Presidents Uhuru Kenyatta (Kenya) and John Magufuli (Tanzania) at State House in Nairobi, November 1, 2016. /PSCU

Tanzania is not among the initial list of 11 countries allowed to fly into Kenya.

In a communiqué announced by Transport CS James Macharia, China, South Korea, Japan, Canada, Uganda, France, Namibia, Zimbabwe, Ethiopia, Rwanda, Switzerland and Morocco who have mild and limited community transmission will be allowed.

The CS said the list will be reviewed on a regular basis depending on the circumstances on the ground and after a comprehensive global mapping of the intensity of the disease.

According to the communiqué, all the passengers arriving in the country will be required to produce a PCR based Covid-19 certificate whose test should have been done 96 hours before travel.

“Let it be clear that those who will have a certificate of tests done before the stipulated 96 hrs will not be allowed to board in the first place. On arrival the passengers’ temperature should not exceed 37.5 degrees and not display any Covid-19 related signs,” Macharia said.

He said only such passengers will be exempted from quarantine.

Kenya uses PCR tests, which directly detect the presence of an antigen, rather than the presence of the body’s immune response, or antibodies.

Some countries use antibody tests which check the blood by looking for antibodies, which may tell if one had a past infection with the virus that causes Covid-19.

Macharia said passengers traveling out of the country will be required to abide by Covid-19 requirements of destination countries and before boarding, airline operators are under firm instructions to check compliance.

“Passengers arriving after curfew hours shall be allowed to proceed to their hotels but must have a valid passport and boarding pass,” he said.

The CS said drivers of such passengers will also be required to provide evidence that they came from the airport to pick them.

“For those departing after the curfew hours, they must have a valid boarding pass before they are allowed,” he said.

Macharia said air operators are required to provide guiding materials on the application of preventive measures.

"It should be noted that the aviation industry is an important sector both in terms of transmission and opening the economy. As we head towards the resumption of the international flights we have developed these protocols to ensure the safety of travelers,’ he said.

Macharia said through the resumption of the local flights, the industry had taken some time to learn what needs to be improved to ensure maximum readiness ahead of the August 1.

Domestic flight after approvals and protocols opened up on July 15.

The move to exempt Tanzania on the list comes amid increasing diplomatic wars with Kenya.

On Tuesday, the Ministry of Foreign Affairs denied claims that the Kenyan delegation to President Benjamin Mkapa’s funeral was turned back mid-air by the Tanzanian authorities.
 
Tanzania haiwezi kuizuia Kenya, ila naona walishauriana wakasingizia hitilafu ya kiufundi mara hali ya hewa. Kifupi walitaka waonekane wamekuja lkn hali imezuia
Wametumia busara kusema hali ya hewa, uku wa Kenya wakasema ndege imepata hitilafu, huoni pana jambo apo? tukishauriana na kukubaliana A iweje moja aseme B mwengine C? Tutaheshimiana tu kipindi cha Magu.
 
Wakenya kateni rufaa
IMG_20200731_041613.jpg
 
Uongo. Msiba ulikuwa kilimanjaro au dsm na mtwara? Nachoweza kubali ni kuwa walitafta sababu ya kiufundi wasitue nchini kwa kuogopa corona. Hivyo wakajifanya wanaingia nchini lkb ki ufundi/hali ya hewa ikazuia. Hiyo ni zuga, wanatunyanyapaa watanzania
Mimi Mkenya nakuambia kuwa Tanzania ndio iliyozuia ndege kutua. Hatujui sababu ya kitendo hicho ila lilitendeka na Wakenya wakarudi kwao. Nyie pia hamutatua kwetu.
 
Mimi Mkenya nakuambia kuwa Tanzania ndio iliyozuia ndege kutua. Hatujui sababu ya kitendo hicho ila lilitendeka na Wakenya wakarudi kwao. Nyie pia hamutatua kwetu.
Kwenu kuna korona lakini tukitaka kuja hamtaweza kutuzuia baba wa afrika mashariki.
 
Ila Kenya Lockdown yenu ya maigizo kweli

Nia yenu ni kula hela za mabeberu tu.

Hofu yangu ni majibu ya Magufuli yanaweza kuwa na athari zaidi kwa mahusiano ya nchi hizi hasa kibiashara tunategemeana sana.

Wakenya na nyie someni upepo utawala huu sio wa kuubipu, una counterattack za hatari na za kushitukiza.

Choko choko zilianza kibiti mpaka Sasa imebaki historia.

Magaidi wa Msumbiji walianza kuchezea sharubu mpaka Sasa kimya hatuoni hata video mitandaoni.

Malawi wameamua kutulia tu wanasubiri awamu nyingine ndio waanzishe chokochoko zao.

Sasa nyie Jirani zetu, itafika wakati tutakaa tu meza moja.

Huu ugonjwa upo na utaendelea kuwepo mpaka pale chanjo itakapopatikana, tujifunze kuishi nao.
 
Back
Top Bottom