Kenya imefungua anga kwa mataifa 11

Kenya imefungua anga kwa mataifa 11

Mimi Mkenya nakuambia kuwa Tanzania ndio iliyozuia ndege kutua. Hatujui sababu ya kitendo hicho ila lilitendeka na Wakenya wakarudi kwao. Nyie pia hamutatua kwetu.
Wakenya mlikuja kutoa lawama tu, Huwezi Tuma yoyote aje kuwasilisha msiba wa rais wa zamani. Mlituletea ujumbe hafifu... Na tukaona SIO sahihi ... Vile mmeleta kutoa ushahidi. Rais wenu anaogopa virusi... Tukawapiga pini...
 
Majirani inabidi mpimwe mkojo bila shaka!

Hivi unawezaje kuufurahisha umati ujue wewe ni wamaana kumbe siyo?

Mnairuhusu China yenye maambukizi makubwa, huku utabiri wenu kuhusu vifo vya majirani zenu vikigonga mwamba

Jitafakarini sanaa

Shida yenu tunaijua na kama mabeberu ndio wamewatuma waambieni tena huku ngoma ni ngumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] subirini tamko rasmi la nyie kuruhusiwa kuingia na KQ zenu
 
Mimi Mkenya nakuambia kuwa Tanzania ndio iliyozuia ndege kutua. Hatujui sababu ya kitendo hicho ila lilitendeka na Wakenya wakarudi kwao. Nyie pia hamutatua kwetu.
Hao walikuwa chambo cha kudanganya wakenya kuwa Tz kuna Corona.
Wangerudi wangepimwa na kukutwa na Corona afu wangesema wameitoa Tz.
Usalama wakawashtukia.
Afu pia ni dharau, ujumbe wetu kwa msiba wa moi ulikuwa wa heshima kuliko mliotuma nyinyi.
 
Ha ha ha sasa hapa inaanza kuingia akilini.
 
Back
Top Bottom