Wakenya mlikuja kutoa lawama tu, Huwezi Tuma yoyote aje kuwasilisha msiba wa rais wa zamani. Mlituletea ujumbe hafifu... Na tukaona SIO sahihi ... Vile mmeleta kutoa ushahidi. Rais wenu anaogopa virusi... Tukawapiga pini...Mimi Mkenya nakuambia kuwa Tanzania ndio iliyozuia ndege kutua. Hatujui sababu ya kitendo hicho ila lilitendeka na Wakenya wakarudi kwao. Nyie pia hamutatua kwetu.