Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Hasira alizokuwa nazo Magu atawamalizia Kenya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magu hana hasira sema ni kiongozi makini.Hasira alizokuwa nazo Magu atawamalizia Kenya
Sawa bakini hukohuko kwenu msije mkaleta korona huku. Si mnajua Watz hatuna korona.Naunga mkono hoja. Afya na usalama ni kitu mzuri sana kwa mwanadamu.
Yote hii sababu tu wewe ni chadema?Safi sn Wakenya, usalama kwanza
Nakuambia hili la kufungiana mipaka Kenya watauia zaidi kwenye utalii. Walikuwa wanashawishi wageni kupitia vivutio vya Tanzania sasa wakija watashindwa kuvuka mpaka kuja Tanzania.Ohooooo tusipofunga mipaka basi tutafungiwa......Sugu!
Uongo. Msiba ulikuwa kilimanjaro au dsm na mtwara? Nachoweza kubali ni kuwa walitafta sababu ya kiufundi wasitue nchini kwa kuogopa corona. Hivyo wakajifanya wanaingia nchini lkb ki ufundi/hali ya hewa ikazuia. Hiyo ni zuga, wanatunyanyapaa watanzaniaNilisikia Jiwe kawapiga pini kuhudhuria mazishi ya Mzee mkapa. Ndege ya KQ ilifika pale kilimanjaro ikanyimwa ruksa ya kutua
Wametumia busara kusema hali ya hewa, uku wa Kenya wakasema ndege imepata hitilafu, huoni pana jambo apo? tukishauriana na kukubaliana A iweje moja aseme B mwengine C? Tutaheshimiana tu kipindi cha Magu.Tanzania haiwezi kuizuia Kenya, ila naona walishauriana wakasingizia hitilafu ya kiufundi mara hali ya hewa. Kifupi walitaka waonekane wamekuja lkn hali imezuia
Ni kweli. Wabangi wengi wanaonea ndege kwenye televisheni. Au ndege wanaoifahamu ni kuku tu.Watanzania wanaopanda ndege ni kidogo sana... wa kuhesabika.
Mimi Mkenya nakuambia kuwa Tanzania ndio iliyozuia ndege kutua. Hatujui sababu ya kitendo hicho ila lilitendeka na Wakenya wakarudi kwao. Nyie pia hamutatua kwetu.Uongo. Msiba ulikuwa kilimanjaro au dsm na mtwara? Nachoweza kubali ni kuwa walitafta sababu ya kiufundi wasitue nchini kwa kuogopa corona. Hivyo wakajifanya wanaingia nchini lkb ki ufundi/hali ya hewa ikazuia. Hiyo ni zuga, wanatunyanyapaa watanzania
Kwenu kuna korona lakini tukitaka kuja hamtaweza kutuzuia baba wa afrika mashariki.Mimi Mkenya nakuambia kuwa Tanzania ndio iliyozuia ndege kutua. Hatujui sababu ya kitendo hicho ila lilitendeka na Wakenya wakarudi kwao. Nyie pia hamutatua kwetu.
Jaribuni kuja muone jambo litakalofanyika. Hatutakubali ndege lenu lituweKwenu kuna korona lakini tukitaka kuja hamtaweza kutuzuia baba wa afrika mashariki.
Watanzania wanaopanda ndege ni kidogo sana... wa kuhesabika.
Hivi unajuaa kuwa Kenya airway inategemea sana ruti ya tz?mtaumia sanaJaribuni kuja muone jambo litakalofanyika. Hatutakubali ndege lenu lituwe